boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,109
- 1,398
Mbwa dume hata wewe hujaelewa ninachomaanishaAaghhrrr!!!
Hili rijamaa rimeandika riruga gani?!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
lugha ya kiswahili tu maana hiyo nyingine nitaitumia mweshimiwa akiijuaMbwa dume hata wewe hujaelewa ninachomaanishaAaghhrrr!!!
Hili rijamaa rimeandika riruga gani?!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
lugha ya kiswahili tu maana hiyo nyingine nitaitumia mweshimiwa akiijua
Wapo walioapa , hawatopenda milele, wakarudia yaleyale,,,,by mwasitiYou must be kidding
Nikweli ila inatushinda walio wengi ndo mwanzo tunaanza kunungunika ! Mmmm tuombe sana.Na ukirudi kwenye mahusiano jifunze kuignore things ... maisha yataenda
naomba unikarimanieI cosign on that one.
hii nii kweli...wanawake wana raha yao lakini kama huna mwanamke mwelewa ni adui wa maendeleo.Uko sawa member hata mid huwa kuna wakati nahitaji niwe na mpenzi na kuna wakati napenda niwe peke yangu maana Luna vitu huwa nikianza kufanya nachukua karibu muda mwingi sasa ukiwa na girlfriend SAA nyingine vitu haviendi anataka muda wote uwe nae
mapenzi ni matamu ila kuna kipindi na kipindi
Naona umepata wafuasi wengi sana, jiandae kuwa mwenyekiti wao wa chaputa.... Ila tahadhari mpige nyeto kwa ustaarabu sio mnagonga mpaka mnaichosha misuli ya uumeWakuu
Napata faraja sana ya maisha hasa baada ya kupitia mikikimikiki ya mapenzi, 96% ya akili yangu ilikua ikitumika kuwaza anayeitwa mwanamke niliempenda badala ya kuwaza mambo ya maana kama project za maendeleo ila baada ya kumuacha mpenzi niliempenda sasa naishi saaafi bila stress zozote.
Kupenda mtu ni kubaya sana, 99% za ubongo zinakua zinamuwaza umpendae na akijua unampenda utajuta, ATAKUFANYIA TIMBWILI ZA KILA AINA ila nachofurahi tu ni kua huwezi kukomaa kimapenzi kama hujawai umizwa, kama wewe bado,basi jua siku zinakuja.
Now am FREE
No woman no cry
Karibu kwenye ulimwengu wa "i dont care".
karibu chamani
u do care no matter whtKaribu kwenye ulimwengu wa "i dont care".
Pole sana mkuu, niliwahigi kupata vidonda vya tumbo kisa mwanamkeWakuu