RAGNAR LOTH
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 698
- 1,605
- Thread starter
- #21
Bado hujalewa ni comment
Dunia ingekuwa na mlango kuna Mtu ningemtoa nje
Bado mkuu
Bado hujalewa ni comment
Dunia ingekuwa na mlango kuna Mtu ningemtoa nje
Pole sana mkuu wenzetu huwa wanasema "Karma is a bitch it serves you exactly the same" kumbuka maumivu uliyokuwa unampa mkeo.....what goes around?????? Vumilia tuu
Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
Km najaribu kuona what's next. Kuna jamaa kitaa ilikuwa km hivi tukamchukulia masihara tumekuja kutahamaki kaua wote wawili.
Kitendo cha kusema tatizo ni ujasiri tosha. Sasa basi usimdhuru please hayo ni mapito tu. Tafuta wazee wenye busara sana wawakalishe Hao woote wawili wawaombe watoke humo ndani. Na ikibidi report police tena waeleze kabisa mawazo yanayokujia ni mabaya. Nadhani utasaidiwa
Dunia ingekuwa na mlango kuna Mtu ningemtoa nje
sawa lkn mipaka ipo
Tena na yeye anampa huyo njemba hata "visivyotolewa" aisee MUNGU awarehemu mnooo,shetani anawafanya anavyotaka yeye hebu jaribu kutubu kwa imani yako MUNGU wetu ni mwingi wa Rehema na Upendo atakufanya mpya...."tazama ya kale yamepita nayo yamekuwa mapya" ukitubu kweli na kumlilia yeye aiseee atakufanya imara nawe utamuishi yeye siku zote za maisha yako,.hayo mabaya unayoyawaza unampa shetani nafasi ya kuharibu zaidi,.tafakari chukua hatua na MUNGU wa mbinguni akutetee.
Mkuu ni kweli amekukosea lakini kumuua sio the best option.. Ukijua wewe ndoto muanzilishiNi kweli kabisa afya yangu imezorota kupita kiasi. Lakini sidhani kama kurudiana naye itawezekana tena. Kinachoniuma sio yeye kua na mtu mwingine lkn kumleta ndani kwangu ndo kunakonifanya nifikirie siku moja nirudi nimelewa niwangojee waingie ndani nichome nyumba moto nitokomee nikafie mbali .
SHIDA INAKUJA MWANAMKE AKIFANYA KWICHIKWICHI NJE YA NDOA HUWA ANAJIACHIA KAMA MITHILI NA ZAIDI YA YULE MDIGO