Recent content by Truthg

  1. Truthg

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ipi ni aina bora ya water pump?

    Kwanza inategemea unataka kumwagilia kwa njia ya matone au kwa kutumia sprinkles. kama kwa matone pump ya petrol inatosha lkn kama ni kwa sprinklers basi tumia pump za diesel. Water pump nzuri ni zile zinazotumia Diesel, utapata unafuu wa gharama za mafuta. Pump za petrol zinauzwa bei ndogo...
  2. Truthg

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha alizeti na biashara ya mafuta

    Wadau Habarini. Naomba kujuzwa machache kuhusu kilimo cha alizeti. Katika ekari moja yanapatikana mazao gunia ngapi? Je, kama nahitaji kufanya biashara ya mafuta kipi ni bora kati ya kununua alizeti au kulima mimi mwenyewe. Natanguliza shukurani zangu kwa kila atakayechangia
  3. Truthg

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha Mbaazi

    ahsante, nimekupata
  4. Truthg

    JamiiForums Tanzania Kati ya Morgan Freeman, Denzel Washington na Samuel Jackson nani mkali?

    ni producer pia ni muigizaji. amecheza movie nyingi kama John Q, De ja vu, Great Debators, Training Day, Malcom X n.k
  5. Truthg

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha Mbaazi

    wadau naomba kuuliza, ni wapi zinapatikana mbegu za mbaazi kwa mikoa ya Mbeya, Iringa Njombe na Ruvuma?
  6. Truthg

    JamiiForums Tanzania Dodoma yazingirwa, BAVICHA wawindwa

    hahahahahah bavicha wanataka kuwasaidia polisi. hahhahahahha
  7. Truthg

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania ikiomba kiwanda cha magari, Wakenya waliomba kiwanda cha mbolea

    kila mtu anaomba kitu ambacho hana
  8. Truthg

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa laki 6.5 naweza kupata mkopo wa milioni 15

    jaribu kuuliza katika page ya CRDB au NMB katika facebook huwa wana jibu maswali yanayohusu mambo yote ya kibenki
  9. Truthg

    JamiiForums Tanzania Wanaume baadhi ni maharage ya Mbeya

    hahahahhah. kuna visababishi vingi, ikiwemo kuangalia video za ngono, kupiga punyeto, kusex na msichana asiyekuvutia au asiyezingatia usafi.
  10. Truthg

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Lowassa Nzega-Tabora

    ni kweli lkn sio kwa EL
  11. Truthg

    JamiiForums Tanzania Wananchi wameshindwa kuelewa maana ya mabadiliko

    Hapo kwa mbunge sawa. Lkn urais think twice
  12. Truthg

    JamiiForums Tanzania Wananchi wameshindwa kuelewa maana ya mabadiliko

    Real people care. Fake people don't care
  13. Truthg

    JamiiForums Tanzania Wananchi wameshindwa kuelewa maana ya mabadiliko

    Iv mpaka uambiwe na msomi kwamba EL hafai?
  14. Truthg

    JamiiForums Tanzania Wananchi wameshindwa kuelewa maana ya mabadiliko

    Kwasasa kila anayeongea ukweli kanunuliwa!
Back
Top Bottom