Peter Lemi
Member
- Mar 30, 2016
- 39
- 62
Je kwa mshahara huo naweza kupata mkopo wa M 15! Ni muajiriwa wa serikalini.
Mkuubio ulikua unapata gross au net??yaaan laki6.2 upate mil13!!makato laki3.2 !badi kodi hapi na nssf!!alooo ulijilipua balaa.nahisi hujamaliza mkopo wewe uliacha kaziMmmh Mim pia nlikua na mshahara wa laki6.5 nlipoenda crdb wakanambia watanipa mil13. Apo ukiweka na riba ya marejesho itakubid ulipe mil19 na ushee. nikaona sio ishu nikachukua mkopo per month wanakata laki 3.2 kwa muda wa miaka 5.(crdb ndo walkua wanatoa ela kubwa kuliko benk nyingne)