Mkutano wa Lowassa Nzega-Tabora

Mkutano wa Lowassa Nzega-Tabora

hadi mwinyi kuita ukawa ccm b alikua hatanii,,,,
 
Najua picha , maneno matam au makali hayambadrishi yeyote humu jf.

Wakati mwingine ni kama vile unajitekenya na kucheka mwenyewe.

Jambo moja la ukweli ni kuwa baada ya kura kuhesabiwa Magufuri ataibuka mshindi kwa asilimia nyingi tu.
 
hao ni wale vijana wanaodhani lowasa akipata urais watakuwa ni matajiri wa ghafla pasi na kufanya kazi.... tunaojitambua na kufanya kazi huwezi kutukuta ktk ushabiki wa namna hiyo
 
Watu wanandoto za kipindi cha mzee. Ruksa, maisha ya kitajir kila mtanzania.
 
Hivi huko si ndiko kwa Bashe ambaye kimwili yupo Sisiem lakini kiroho yupo Ukawa?

Kwa nyomi hizo anazozipata Edo kila aendako nchini ni vyema maccm wakajiandaa tu kisaikolojia ili kukabidhi madaraka kwa amani ifikapo Oktoba mwaka huu.

Jana nilikuwepo eneo la tukio Sumaye akasema"Bashe ni ndugu yetu nadhani mnafahamu kuwa alikuwa ni kijana wa Mzee Lowassa lakini mwenzetu ambebaki kwenye gari lisilokuwa na matairi kwa hiyo hakuna namna"
 
Kaka umemaliza yote,sis chini ya hawa Ma CCM hata FLY OVER ya pale Tazara imewashinda wao wanawaza kupiga dili tu
Peoples sssssssssss Power tunasonga mbele , na hizo ni picha za kuchongaaaaaaa ? Watu wamechoka, CCM hamna jipya tunataka uhuru wa maendeleo, sio wa Umaskini, miaka 54 inatosha. Si tumeona Kenya ? Wanasema wenyewe, ingekuwa KANU Leo hii Nairobi isingekua na Superhighway na sisi tunataka hatutaki magumashi tena
 
Embu linganisha, kusifia chama na kusia watu. Peoples power haimaanishi ukawa au chadema, ila CCM oyeee ,moja kwa moja unasifia chama. Ishara ya vidole viwili inamaanisha amani sio chadema.

Vid Vic Vica/I came I saw I conquer=Alama ya vidole viwili pia humaanisha ushindi,amani nk.
 
hao ni wale vijana wanaodhani lowasa akipata urais watakuwa ni matajiri wa ghafla pasi na kufanya kazi.... tunaojitambua na kufanya kazi huwezi kutukuta ktk ushabiki wa namna hiyo

kwa hyo ndiyo maana mnashabikia mafisadi ya ccm??
 
Watu wanandoto za kipindi cha mzee. Ruksa, maisha ya kitajir kila mtanzania.

Acha ushabiki na kujitoa ufahamu.Huduma za afya,kodi zisizokuwa na tija,mishahara duni,mikataba mibovu na mengine mengi ya kipuuzi yanayofanywa ma siaieM kama utamaduni wao.Mimi mwenyewe ninafanya biashara zangu na ninaweza kupotosha kwa kuongea pumba kama zako lakini kuna mapungufu yanayoonekana wazi lazima vijana wayakatae.Kwa pumba zako unadhani kila anayetaka mabadiliko ni mtu asiyejishughulisha?Nenda kafanyiwe upasuaji wa kichwa kisha waimwage hiyo haja iliyojaa kichwani ili ujue nini maana ya maendeleo ya kijamii na taifa ya kiuchumi.Mimi kama mfanyaniashara nategemea idadi kubwa ya watanzania iwe na kipato cha kutosha ili uchumi wangu binafsi na wa nchi uweze kuwa na tija.Na kijana atajishughulishaje bila kuandaliwa kwa ajili ya kuingia katika soko la ajira?Operation ya kichwa inakuhusu wewe ili uwe concious kama wapumbavu na malofa wengi wenye elimu zao lakini kazi hawapewi wanapeana vigogo na wapambe wao kama ninyi.
 
Me nashindwa kuelewa mpaka sasa watanzania hawaamini kuwa lowasa anaweza kuleta mabadiliko.watanzania tusiyumbishwe na watu wachache wasio kuwa na uchungu na nchi yao mabadiliko yanawezekana na mabadiliko hayo yanatoka nje ccm

ni kweli lkn sio kwa EL
 
halafu kuna zee moja puuzi linajiita mwanakijiji na lingine linaitwa dr mihogo yanapuuza maamuzi ya wananchi
 
Acha ushabiki na kujitoa ufahamu.Huduma za afya,kodi zisizokuwa na tija,mishahara duni,mikataba mibovu na mengine mengi ya kipuuzi yanayofanywa ma siaieM kama utamaduni wao.Mimi mwenyewe ninafanya biashara zangu na ninaweza kupotosha kwa kuongea pumba kama zako lakini kuna mapungufu yanayoonekana wazi lazima vijana wayakatae.Kwa pumba zako unadhani kila anayetaka mabadiliko ni mtu asiyejishughulisha?Nenda kafanyiwe upasuaji wa kichwa kisha waimwage hiyo haja iliyojaa kichwani ili ujue nini maana ya maendeleo ya kijamii na taifa ya kiuchumi.Mimi kama mfanyaniashara nategemea idadi kubwa ya watanzania iwe na kipato cha kutosha ili uchumi wangu binafsi na wa nchi uweze kuwa na tija.Na kijana atajishughulishaje bila kuandaliwa kwa ajili ya kuingia katika soko la ajira?Operation ya kichwa inakuhusu wewe ili uwe concious kama wapumbavu na malofa wengi wenye elimu zao lakini kazi hawapewi wanapeana vigogo na wapambe wao kama ninyi.

Mkuu unatokwa na povu kama mgambo kakuingilia sehemu yako ya kazi. Embu fafanua vizuri, kwa hiyo wewe kama mfanya biashara unataka usaidiwe au ufanyiwe mabadiliko gani? Kila mtu ana mahitaji yake. Ila kama unataka utajir atauleta tu kama alivyosema Mh. EL
 
Nilitegemea kuwa hautanielewa kwa kuwa bado haja inakusumbua kichwani.Na umepaniki kwa kutokuelewa ndio maana jibu lako halifanani na ninachomaanisha.Pole sana ndugu kwa sababu ndiyo malezi ya Sisiem.
 
Back
Top Bottom