Pole Sana mkuu hizi ajira zina ushindani Sana nafasi 5 unakuta wanapambania watu 300
ukikosea kidogo Tu umeliwa kichwa muda mwingine utafanikisha hata isikutoe mchezoni kabisa
Kama deadline ya kutuma maombi ya hiyo nafasi ilishapita kubarisha si rahisi ila Kama bado wanapokea maombi unaweza saidiwa kinyume na hapo no ngumu lakini nenda kawacheki unaweza ukatoboa tusikukatishe tamaa Kama Dodoma unafika kirahisi
Kujifungulia account mwenyewe hapo hapo inaanza kufanya kazi na unapata akaunti namba muda Huo huo kitakachokupeleka Tawini ni kufata Kadi ya ya bank kama utaihitajiambayo hii utaiomba mwenyewe baada ya kufungua akaunti ila matumizi ya sim bank yote utafanya kama kawaida ikiwemo kuweka pesa...
Mkuu Mimi nimerekebisha jina la mwisho surname NIDA kwa kulipia 20k Tu hiyo hesabu umepewa wapii mkuu au jina ulilotumia NIDA kama surname ulilikosea katika mazingira yapi
Mimi kwangu walikosea wao NIDA kuliandika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.