Recent content by triza

  1. triza

    Anatafutwa tapeli huyu .(anatumia vibaya jina la barick gold)

    Kuna dada rafiki yangu ametapeliwa na huyu mtu juzi tu.tukimpigia namaba zake hapokei.ahsante kwa kutupa taarifa.
  2. triza

    Wanawake. . . .

    Yani mm sijui nisemeje wanawake hatupendani kabisa, mm imeshanitokea nilienda crdb bank nikamuomba dada mmoja ambae anafanya kazi pale anipatie deposit slip zilikuwa zimeisha jamani alinijibu vibaya kwa kweli nilijisikia vibaya sana nikasema hii ni slip tu naomba, ingekuwa ni kitu cha...
  3. triza

    Naomba ushauri wa haraka, nimewafumania wanangu!

    pole sana mama, kaa na hao watoto wote ujue walianza lini na ninani aliwafundisha huwo mchezo mchafu, pengine walianza muda mrefu huwo mchezo ili ujue utawasaidiaje, na ikiwezekana wapeleke hospital doctor akawacheki naimani atakupa ushauri mzuri zaidi.
  4. triza

    Je kuna ukweli katika hili?

    nendeni mkapime DNA ukweli utajulikana mtoto ni wa nani.
  5. triza

    Inanitisha nisaidieni!!!!!!!!!

    Pole sana, Jiamini wewe umeshakuwa mtu mzima na umuombe sana Mungu akuongoze yeye ndie anaye weza. kwanza jiulize amepata wapi no zako za simu mpaka kukupigia, huwenda na yeye hajisikii vizuru kwa kitendo alichokuwa anataka kukifanya, wewe nenda ukamsikilize ila usiende peke yako tafuta...
  6. triza

    Umeshakutana na watu aina hii?

    au wewe ni freemason, yani wanaboa kwa kweli
  7. triza

    Sema aleluya kwa kila uliyezini naye

    naona mbavu zangu zinaaribia kuchomoka.
  8. triza

    Dereva Tax & Mwanamke

    pesa mbele maesabu baadae safi sana kaka. wewe ndio unajua umuhimu wa kazi yako.
  9. triza

    kichaga kigumu kuandika

    ngasoma mpaka ngaicho raha sana
  10. triza

    kichaga kigumu kuandika

    hahahaha yanyi mongifuraisha sana
  11. triza

    Anatakiwa Msichana wa Stationery & Internet Cafe

    dah kufanya nae kazi itakuwa ngumu hapo tu yuko hivyo hahaha si mchezo ndio ma bosi wetu wa kibongo hao jamani.
  12. triza

    Imekula kwa nani kati ya hawa?

    hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa. hii kali mitamaa mingine bwana ata haifai ona sasa dr. limeshajinyakulia hapo kidali po chake
  13. triza

    Utani kati ya makabila

    Mchaga na mpare.......... na wewe endelea
  14. triza

    Mzee kipara afariki Dunia

    kazi ya mungu nawapa pole wafiwa wote wa familiya ya mzee kipara
  15. triza

    Mzee kipara afariki Dunia

    kazi ya mungu nawapa pole wafiwa wote mzee kipara
Back
Top Bottom