Naomba ushauri wa haraka, nimewafumania wanangu!

Naomba ushauri wa haraka, nimewafumania wanangu!

pole sana mama, kaa na hao watoto wote ujue walianza lini na ninani aliwafundisha huwo mchezo
mchafu, pengine walianza muda mrefu huwo mchezo ili ujue utawasaidiaje, na ikiwezekana wapeleke
hospital doctor akawacheki naimani atakupa ushauri mzuri zaidi.
 
Awashauri watumie kinga kwa kuwa kama wamezoea hawataacha.
Wana JF,

Kuna jirani yangu, mdada wa makamo ana watoto wawili wa kiume wa kuzaa mwenyewe na mmoja wa kiume wa ndugu yake anaishi nao huko boko. Amewafumani jana wakiwa wanafanya mchezo mchafu kwa zamu. Umri wao ni kati ya miaka 8 mpaka 11.

Anaomba ushauri juu ya nini cha kufanya maana anaona ibilisi mbaya ameingilia familia yake. Mawazo yake ni kuwa awatenganishe, kuwahamisha shule au awapeleke boarding au .....

Ni urgent unahitaji ushauri wa haraka.

HP
 
dah mpe pole sana huyo dada.na kuhusu boarding asiwapeleke kabisa kwani nina ushahidi wa kutosha jinsi watoto wa kiume wa boarding wanavyoharibiana.hao awapeleke police kwanza wakale mikwaju ya kutosha then awatenganishe awapeleke kijijini lkn vijiji viwe tofauti wakakae hata mwaka wakalime waone adha ya kijiji then awarudishe lkn asiwaweke tena pamoja.ni hayo tu boss wangu kwa sasa
 
Mwambie aongee nao kwa uwazi,...Asifikirie kuwachapa haisaidii maana watajificha next time,..
Awaaulize waliujulia wapi huo mchezo,...........
Awaambie ubaya wa wanacho kifanya,....(kiafya,na kiimani.,.....Kazi ipo kama walijifunza toka kwake.)

Afiche,au aharibu kabisa cd/dvd chafu alizo nazo hapo nyumbani kwake.
Awatenganishe hao watoto kama itawezekana.....

Cha muhimu zaidi awe rafiki yao,na awaambie kila kitu
na ubaya wake.

Namfahamu psychologist anae weza kuongea nao kwa kuwa weka vizuri zaidi.

Lakini haya yote ni matokeo ya wazazi kuto wakuza watoto katika hofu ya Mungu.

Anacho fanya mtoto ni REFLECTION KUBWA YA MZAZI WAKE.
 
Duh, kweli dunia inaelekea mwisho, watoto wa miaka 8 na 11 wanakula TIGO? Hii ni hatari aise, sijui nisemaje, kama alivyosema mchangiaji mmoja, awapeleke polisi wapate mikwaju ya uhakika kama adhabu halafu awatenganishe mmoja ampeleke sehemu nyingine mwingine abaki hapo home, swali je wataacha hako kamchezo? manake haijulikani wamekaanza lini na kameshawanogea kwa kiasi gani. Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni
 
1. Zungumza nao kwa uwazi kuhusu athari za matendo waliyokuwa wanafanya na ni vizuri ukafahamu wamejifunza wapi itakusaidia kuwadhibiti....waeleze kuhusu magonjwa na athari za matendo yao, waadhibu kwa hili.
2.Muombe sana Mungu, siku hizi kuna miroho inaingilia watoto na huu ushetani wa kwenye movies ndo kabisaa,waweke watoto karibu na Mungu,hofu ya Mungu itawapa uzito wa kurudia hili...ni vizuri pia uka monitor movement zao na aina ya marafiki wao.
3.Waweza watafutia shule tofauti na kuomba uangalizi wa karibu wa walimu(usiwaambie tabia ya wanao),ila wawe wanafuatiliwa wanavyohusiana na wenzao.

Pole sana,hili ni gumu na linaumiza na kukatisha tamaa, kuwa mvumilivu.
 
Mwambie achukue huyo mtoto wa ndugu yake amrudishe kwao abaki na mwanae kuwapeleka boarding sio suluhisho huko ndio hakufai kabisa,inauma sana kama mzazi kusikia mwanao anafanyiwa kitendo kama hicho bora uletewe kesi zote lakini sio hiyo unaweza kuchukuwa maamuzi ambayo utayajutia wakati huo upo segerea ee Mungu waepushe wanetu na hii kitu
 
Huo umri bado hawajafahamu ubaya au uzuri wa jambo walilokuwa wakifanya, kaa nao waeleze ubaya wa hilo jambo halafu endelea kuchunguza tabia zao. Kuwahamishia boarding school hutapata muda wa kufuatilia tabia zao.
 
Awatie viboko ili kila wakikumbuka kufanya hiyo kitendo wanakumbuka zile bakora , na hawatafanya tena.

Juzi juzi nilisikia kuna shule moja ya boarding kuna katoto ka darasa kama la 6 kalikuwa kana wala uroda wenzake wa madarasa ya chini la 2 sijui na 3.

Sasa kama hali yenyewe ndio hii mimi naona hata hizi boarding hazifai ni kimeo mtoto anaweza kwenda mzima akarudi GAY
 
hivi kumbe ishu ya kulana masaburi iko siliasi kiasi hiv...! Hadi kwa watoto!!
Kuhusu kuwapeleka bording ni hatari zaidi watatumiwa na vijana wenye ugwadu wa kidato cha tatu na nne n.k
awapeleke police au mgambo au sungusungu wachapwe viboko vya haja!! Wataacha tu hao.
 
akae na hao watoto azungumze nao!

Pili aangalie mazingira yanayozunguka watoto, kuna nini kinachowapelekea kufanya hayo?

Kuwapeleka boarding watoto wa miaka 8-11 ni kuzidi kuwaharibu,ingawa akiweza kuwatenganisha ni vyema.

Kama wanalala pamoja awatenganishe!

Uangalizi wa karibu ni muhimu
 
Mtambuzi jua hao ni watoto wa kiume aise sijui mtoa mada alimaanisha walikuwa wana msichana miongoni mwao walikuwa wanafanya nae ucchafu au vipi
Mtoa mada hajawa wazi

Hajadadavua tukaelewa lakini mimi nilikuwa namaanisha utukufu wa vibinti..............LOL
 
Mwambie awapongeze. Awape na condom ili wasipeane mimba kwanza kabla hawajamaliza shule, wakishamaliza ndio wapeane mimba. Na wewe unaweza pia kuwafundisha wa kwako
 
huyo wa boko ampeleke huko kwao vinginevyo atawakosa wote..
 
nadhani anaweza akajaribu haya
1. Aongee na watoto wake kujua walianzaje. Hapa pia ajaribu kuwaelewesha madhara ya wanachokifanya hususan magonjwa na kama wanaamini katika dini awaambie ni dhambi kubwa

2. Huyo ambaye si wake amrudishe kwa wazazi wake, wakibaki ndugu wawili management nakuwa rahisi

3. Awatenganishe vyumba vya kulala, kama inawezekana kila mtoto alale chumba chake

4. Aende shule wanakosoma kuangalia kama hiyo michezo haipo.

5. Baada ya hapo, back to african way, kipigo cha mbwa mwizi kitazifanya akili zao zihamaki kwa muda.

Marfuku kupekela boding huko ndo watakuwa mboga kabisa.
 
kwanza utuambie alipowaona alichukua hatua gani kama yeye. kwa hasira sidhani kama unaweza kupata muda wa kuomba ushauri kwa jambo kama hili zaidi ya kuchukua maamuzi mwenyewe ambayo ni kuwakemea vibaya na ikibidi kuwatia bakora ili wajue kua tendo hilo hawajalifika. lakini kama uliwaangalia kama picha halafu hapa unataka ushauri, sijui utatekeleza vipi ushauri utakaopewa maana muda ushapita. tukisema wachape, watakushangaa fimbo za nini after 5 hours, wakemee watakuona chizi. kuna mambo ya kuomba ushauri, lakini kwa upande wangu sioni kama hili ni sawa kusubiri ushauriwe halafu ndio u take action. hili action yake ni hapo kwa hapo.
 
Mwambie awapongeze. Awape na condom ili wasipeane mimba kwanza kabla hawajamaliza shule, wakishamaliza ndio wapeane mimba. Na wewe unaweza pia kuwafundisha wa kwako

POPOOOOO! kaipenda sana hii.
 
Back
Top Bottom