Anatafutwa tapeli huyu .(anatumia vibaya jina la barick gold) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anatafutwa tapeli huyu .(anatumia vibaya jina la barick gold)

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kamaka, Oct 15, 2012.

 1. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Anatumia jina la steven swa makala, au stephen kebwe kebwe makala(angalia attachment uone alivyofoji kitambulisho), anadai ni mfanyakazi wa barick gold mine..kama contactor ,ametapeli watu wengi hapa dodoma pesa nyingi akijifanya ni mfanyabiashara ya madini,pia anatoa mikopo midogo midogo kwa wa kina mama,tafadhali wanajamii forum jihadharini na huyu mtu kuna rb yake kituo cha polisi (dodoma) .
   

  Attached Files:

 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hapo red si kifaa cha umeme hicho jamani?
  Au ni circuit breaker?
   
 3. triza

  triza Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna dada rafiki yangu ametapeliwa na huyu mtu juzi tu.tukimpigia namaba zake hapokei.ahsante kwa kutupa taarifa.
   
 4. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni contractor,(typing error).
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Kitambulisho chake umekitoa wapi? Isije wewe mlikuwa mnapiga issue wote akakudhurumu ndio umeamua kumuanika?
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Sikujua kuwa JF siku hizi ina hadhi ya KIPOLISI
   
 7. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  .Huo ndio uzembe alioufanya wa kusahau data zake kwenye stationary ya mmoja ya walioathirika.Take it or leave it.
   
 8. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Swali zuri kwakweli.
   
 9. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Thanks for info mkuu,tatizo la gts wengi kila wanachoelezwa wanataka na ushahidi,wasubiri siku wakiingia anga zake..
   
Loading...