Kama unajiona huna akili, jitahidi watu wasijue. Kukaa kimya ili ujifunze kwanza ni vizuri zaidi. Sasa hebu tuambie vigezo vinavyotumika kupima nguvu ya jeshi la taifa fulani.
Nliwahi pata dem kijiji flan alikuwa ni wa kawaida tu sio mzuri sana, lakn kwa pale kijijini alikuwa anaoneka mrembo sana, mi nlikuta ndo nmehitimu mwaka wa 3 UDSM. Nmedeti nae lakn akawa anaona kama nmebahatisha kuwa nae. Full kujisifu kuwa yeye ni mrembo, mara ajione kama kanionea huruma, mi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.