Mkuu Kwa uchambuzi wako hebu niambie ni nani na naniUkitaka ujue hili,angalia ni wachezaji wangapi wa Simba wanaingia first eleven ya Yanga
Pia akina Tatu Malogo, Kepha Kayombo, Japhet Smart, Shomary Lawi na Hery Sasii nao wanatakiwa watambuliwe kwa kazi ngumu waliyoifanya.Bila Bodi ya Ligi na Kidau mlikuwa mshapoteana zamani sana
Tunazidiwa na mbinu nje ya uwanja,hata Mimi Huwa najiuliza,wachezaji wa simba one against one na mchezaji wa yanga,wa utoplo anachukua mpiraTuseme ukweli kwanini levo ya kujituma kwa wachezaji wetu huwa iko chini sana.
Yaweza kuwa team si mbaya sana lkn hata kipindi yanga wanakuwa wabovu bado hutusumbua. Utakuja kuona wachezaji wao wanajitoaga sana.
Simba wachezaji wanacheza kama wanasukumwa yaani wapo wapo tu.
Imbeni wimbo wenu wa GSM anaharibu ligi.Wanasimbaaa,
Kwa ufupi Yanga tumewashindwa! Hata hizi danki danki za majuzi ni uoga wetu tu.
Fact ni tuache janja janja GSM atatufanya anachotaka hadi tupate uwekezaji serious ili tujenge timu ya maana.
Tuache maneno mengi, Yanga hawakujenga timu kwa kuleta watoto, walileta watu wa kuwapa matokeo.
Msimu mwingine wa kinyonge, msimu mwingine wa kuongeza idadi ya mechi mtani katufanya alichotaka.
Msimu huu mpya tutafanya makosa Yale Yale! Usajili mbovu na janja janja.
Haya subirini faraja ila facts ni facts! Tumewashindwa mfululizo hadi aibu! F**
Simba anatakiwa aombe ashiriki shirikisho ndiyo saizi yake.Mchezaji akiguswa kidogo tu anaanguka, timu inashambuliwa utadhani anacheza Yanga na Tabora united. Ukisema ukweli unaonekana we ni Yanga. Msimu huu hata marefa wametubeba sana. Hata kile kipigo kutoka Black stars ni kwamba tulikuwa overpowered.
NkwendaInasemekana wachezaji wanadai na hadi tunaenda kucheza hawa
Noruga kyaroki? Nyowe Kaisho!