Those are the answers from the New Anointing Water.
Sin Power be broken! In Jesus name! Amen.
Our God is gudoo!!!
She is Innocent as per the commission.
tatizo kubwa ilikuwa ni ufisadi tu, mama Nyoni na Jairo walipendekezwa kuwa makatibu wakuu ikulu.
Kutokana na misimamo yao mafisadi...
HAkusema hivyo, acah unafiki nitaku serukama.
Alisema CCM wana abuse appreciation kama wakiendelea atawaamuru wabunge waache na hakuotoa oda
ilikuwa angalizo. Huna adabu wewe
Usanii mtupu huo, Mpaka wakaandike kwa upya na siri ili kupotezea.
Kwani toka mwaka jana na juzi walikuwa wapi wasiuandike??
Wao waanza kwanza kujiuzulu kwa kukosa kutoa Mtaala,
Mbatia alisema aliwenda mpaka wizarani akaambiwa hakuna leo wameutoa wapi????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.