Ratiba ya mapokezi ya Lema kesho Arusha!

Mkuu kikatiba mbunge ni msimamizi wa serikali na mshauri wa mambo mbalimbali yanayofanywa na serikali jimboni kwake. Pia mkuu barabara hazijengwi na chama chochote cha siasa. Barabara zinajengwa na serikali kwa kutumia kodi za wananchi wote bila kujali wenye vyama na wasio na vyama. Hivyo lema pia atachangia katika kurejesha mkopo huo kama mtanzania. PIA lema kama mbunge ana mamlaka ya kukagua miradi yote inayojengwa na serikali jimboni kwake sio barabara tu. Hivyo si kweli kwamba kazi ya mbunge ni kujenga barabara!
 
Acha kurafuka mchawi mkubwa wewe Ritz; kwani ccm wamejenga wao barabara ipi hapa A town? Kama siyo World Bank kwani ccm ingejenga lini? Ni lazima akague penda hujapenda na kama utachukizwa na hili nakuomba ukajinyonge chap kwani hakika atakagua!

Anakagua barabara lini kaijenga.
 
Last edited by a moderator:
Anakagua barabara lini kaijenga.

Oya, kumbe upo ???
Jana sikukuona pale viwanja vya mahakama ya rufaa Dar !!
Leo tuko Arusha tunakagua barabara zilizojengwa kwa pesa zetu za kodi tunazokatwa kwenye mishahara kila mwezi !!
 
Kweli Tanzania maajabu yanazidi kuongezeka, nimesoma ratiba ya mapokezi ya mbunge wa Arusha mjini bwana LEMA eti ataenda kukagua ujenzi wa barabara zilizojengwa na chama tawala, barabara ambazo hata kumi hakuchangia, kusimamia wala kuratibu! cha kushangaza sijui hata kama ana uelewa wowote wa mambo ya UHANDISI wa barabara hadi akakague.... mi nilifikiri muda huu bwana LEMA angeacha mbwembwe na kutafuta umaharufu binafsi na kujikita zaidi katika ILANI za chama chake na kutekeleza ahadi zake alizowahaidi waNAARUSHA ambazo karibu zote hajazitekeleza zaidi ya kujitafutia umaharufu binafsi ambao hauna tija kwa WANAARUSHA na wanaCDM WOTE TANZANIA

Mkuu! Umeamka nazo nini???

CCM imejenga barabara arusha? Yaani barabara zinajengwa na walipa kodi wote wa kiTanzania, halafu unatuambia MAGAMBA ndio wanajenga??!!!! Au ndiyo umekaririshwa na yule jamaa anaye sema Raisi endelea kusafiri nje ya nchi ili tupate pesa za kujenga barabara??? Maana kwake yeye upeo wa kufikiri kwa ajili ya kupata maendeleo nadhani uliishia hapo.
 
Kweli Tanzania maajabu yanazidi kuongezeka, nimesoma ratiba ya mapokezi ya mbunge wa Arusha mjini bwana LEMA eti ataenda kukagua ujenzi wa barabara zilizojengwa na chama tawala, barabara ambazo hata kumi hakuchangia, kusimamia wala kuratibu! cha kushangaza sijui hata kama ana uelewa wowote wa mambo ya UHANDISI wa barabara hadi akakague.... mi nilifikiri muda huu bwana LEMA angeacha mbwembwe na kutafuta umaharufu binafsi na kujikita zaidi katika ILANI za chama chake na kutekeleza ahadi zake alizowahaidi waNAARUSHA ambazo karibu zote hajazitekeleza zaidi ya kujitafutia umaharufu binafsi ambao hauna tija kwa WANAARUSHA na wanaCDM WOTE TANZANIA

una uhakika ktk fedha za kodi zilizotumika kujenga hiyo barabara hakuna mchango wa Lema kama mwananchi wa kawaida wa Tz?jaribu kuwa unaushirikisha ubongo wako kabla hujapost kitu huku Jf mkuu
 
Kweli Tanzania maajabu yanazidi kuongezeka, nimesoma ratiba ya mapokezi ya mbunge wa Arusha mjini bwana LEMA eti ataenda kukagua ujenzi wa barabara zilizojengwa na chama tawala, barabara ambazo hata kumi hakuchangia, kusimamia wala kuratibu! cha kushangaza sijui hata kama ana uelewa wowote wa mambo ya UHANDISI wa barabara hadi akakague.... mi nilifikiri muda huu bwana LEMA angeacha mbwembwe na kutafuta umaharufu binafsi na kujikita zaidi katika ILANI za chama chake na kutekeleza ahadi zake alizowahaidi waNAARUSHA ambazo karibu zote hajazitekeleza zaidi ya kujitafutia umaharufu binafsi ambao hauna tija kwa WANAARUSHA na wanaCDM WOTE TANZANIA

Ndugu mleta mada unatakiwa kujisalimisha m.i.l.e.m.b.e kwani umeandika upuuz.i mtupu. Hizo fedha serikali ya CCM inazojengea Barabara ni za kwake? Ndugu yakubidi utumie akili zako vyema kujua kuwa hizo fedha ni zawafadhili na kodi zetu. Hivyo Lema kama Mbunge ana haki ya kusimamia na kuzikagua kama zinakiwango kizuri. Kukagua barabara na kuona mapungufu yake sio lazima sana uwe na akili ya hali ya juu sana, pia uajuaje kama Lema atakuwa na kinanani ktk hiyo ziara? Wacha ushabiki wa kihafidhina.
 
cyo wajibu wake,, nafikiri ule ugonjwa wake bado haujapona pomoja na kushinda rufaa,,
 
inawezekama ndio mawazo yao, waseme tulijenga lema akiwa sio mbunge[/QUO

Lema ni mbunge tokea 2010 japo wajibu wake ulisimamishwa kwa muda, lakini mahakama imemrudishia wajibu huo tokea aliposimamishwa. Kutokana na hili, ana wajibu wa kupitia maamuzi na utekelezaji wote uliofanyika wakati yeye hakuwepo na kujiridhisha kwa niaba ya wananchi. Ukaguzi wa barabara ukiwepo. Hivyo ni sahihi kabisa akikagua.
 
Kweli Tanzania maajabu yanazidi kuongezeka, nimesoma ratiba ya mapokezi ya mbunge wa Arusha mjini bwana LEMA eti ataenda kukagua ujenzi wa barabara zilizojengwa na chama tawala, barabara ambazo hata kumi hakuchangia, kusimamia wala kuratibu! cha kushangaza sijui hata kama ana uelewa wowote wa mambo ya UHANDISI wa barabara hadi akakague.... mi nilifikiri muda huu bwana LEMA angeacha mbwembwe na kutafuta umaharufu binafsi na kujikita zaidi katika ILANI za chama chake na kutekeleza ahadi zake alizowahaidi waNAARUSHA ambazo karibu zote hajazitekeleza zaidi ya kujitafutia umaharufu binafsi ambao hauna tija kwa WANAARUSHA na wanaCDM WOTE TANZANIA

Thread ya ngapi hii kumuhusu lema'?
 
Lema ni mwakilishi wa wana Ar anawajibu wa kujua miradi iliyokamilika vizuri na ambayo inaonekana ipo chini ya kiwango tena ANAHITAJH PONGEZ KWA SABABU ANAFUATILIA MIRADI JIMBONI KWAKE.
 
Kweli Tanzania maajabu yanazidi kuongezeka, nimesoma ratiba ya mapokezi ya mbunge wa Arusha mjini bwana LEMA eti ataenda kukagua ujenzi wa barabara zilizojengwa na chama tawala, barabara ambazo hata kumi hakuchangia, kusimamia wala kuratibu! cha kushangaza sijui hata kama ana uelewa wowote wa mambo ya UHANDISI wa barabara hadi akakague.... mi nilifikiri muda huu bwana LEMA angeacha mbwembwe na kutafuta umaharufu binafsi na kujikita zaidi katika ILANI za chama chake na kutekeleza ahadi zake alizowahaidi waNAARUSHA ambazo karibu zote hajazitekeleza zaidi ya kujitafutia umaharufu binafsi ambao hauna tija kwa WANAARUSHA na wanaCDM WOTE TANZANIA

Nenda kajipange upya
 
Anakagua barabara lini kaijenga.

Mkuu Ritz, hiyo ratiba imebeba ujumbe tosha kwa Lema kuwa wananchi wa Arusha hawataki uhuni wake wanataka maendeleo kama barabara.
 
Mfa maji haishi kutapatapa kodi tunalipa kwa kila kitu hadi mtoto anaezaliwa leo analipa kodi halfu anatuambia ccm wanatoa fedha mfukoni mwao abadilike basi
 
Kweli Tanzania maajabu yanazidi kuongezeka, nimesoma ratiba ya mapokezi ya mbunge wa Arusha mjini bwana LEMA eti ataenda kukagua ujenzi wa barabara zilizojengwa na chama tawala, barabara ambazo hata kumi hakuchangia, kusimamia wala kuratibu! cha kushangaza sijui hata kama ana uelewa wowote wa mambo ya UHANDISI wa barabara hadi akakague.... mi nilifikiri muda huu bwana LEMA angeacha mbwembwe na kutafuta umaharufu binafsi na kujikita zaidi katika ILANI za chama chake na kutekeleza ahadi zake alizowahaidi waNAARUSHA ambazo karibu zote hajazitekeleza zaidi ya kujitafutia umaharufu binafsi ambao hauna tija kwa WANAARUSHA na wanaCDM WOTE TANZANIA

Kwani anapoenda mzee wa mikasi kufungua miradi ya maendeleo huwa zile fedha za miradi ni za CHAMA au SERIKALI?

Hizi shule za kata zimetuletea janga. Yaani we kwa akili yako unadhani CCM ndio wanatufanyia hisani kujenga barabara, poor you! hizo ni fedha zetu wananchi.

Kuhusu Lema kuwa Mhandisi, haya ndio mambo ya kukosa elimu. Kukagua barabara si maana yake kuangalia vipimo kwa divider. Mbona wewe umeandika uzi hapa kwani wewe ni mwandishi? Si unaona mpaka umeandika kiswahili cha kijinga hapo kwenye bold.

Ilani ya CDM kwa muktadha huu wa kuwa mpinzani, ni kuisimamia CCM kwenye miradi ya maendeleo. Ukiwa na akili hata kidogo utagundua kuwa CDM haina dola wala sio inayoshikilia rasilimali za nchi kwa hiyo sijui ni wapi unataka Lema akachukue fedha ili akajenge visima zaidi ya kuipush serikali kufanya hivyo.

Pumba tupu, tena za mahindi ya njano
 
Hivi nyinyi CCM amjui kuwa hizo barabara na vyote vinavyofanywa na serekali yenu ni kwa KODI zetu? Kwahiyo anayohaki ya kutembelea maendeleo yaliyofanywa na KODI zetu na wala si CCM. Tena naamini kama zingetumika vizuri na hio serikali yenu muozo tungekuwa mbali sana. Maendeleo yetu hayalingani na maliasili tulizonazo. Ufisadi wa CCM ndio umetufikisha hapa miaka 51 baadaye. Msijivunie Chochote wala lolote!!
 
Back
Top Bottom