PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

Leo ni viroba tu na ganja.

KAMA KAWA NDUGU Ritz KWASABABU SERIKALI NA JESHI LA POLISI VINGEFANYA KAZI IPASAVYO VISINGE KUWEPO, LAKINI KWASABABU SERIKAKI NA JESHI LA POLISI WANAFANYA KAZI KWA MAAMUZI YA CCM VITUHIVYO VIKO KIHALALI.

KARIBU NDUGU HUKU KWETU GANJA NI MBOGA YA UGALI
 
naona itakua balaa hapo................kweli haki ina gharama kubwa............
 
yaani hata anga ni la blue kuashiria haki (Re UN color)
 
Mkuu Crashwise; Jackbauer;

Muda si mrefu nitakuwa nanyi na hakika haya mapokezi yatakuwa ya recod hapa A town!


Pamoja sana ila usije ukaondoka ili nitakapokuwa naweka picha uwe unazi update kwenye thread maana ngoma ya leo ni mpaka jioni...
 
Last edited by a moderator:
arusha ni nchi nyingine tofauti kabisa na tz.hata watu wake wanaona mbali sana si sawa sie wala utumbo wa kuku hapa bongo.

Dah! Mkuu umegusa penyewe haswa! Halafu wanajifanya wajuaji kama nini! Hao ndio wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" ambao Mwenyekiti hupenda kuongea nao maswala mazito ya kitaifa baada ya kujilia zao utumbo wa kuku. Ha ha ha ha ha!
 
amini Crashwise ndo tumaini la jf kwa maswala ya picha. so tulieni coz mtawekewa picha hadi dunia nzima itajua kunani arusha. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom