Recent content by Trimmer

  1. Trimmer

    JamiiForums Tanzania Chacha: Wengine wanauliza Nchimbi yuko wapi? Umeenda nyumbani kwake wamekwambia hayupo!

    Zamu yake ikifika aseme tukamuulizie wapi,, Tarime au Kinondoni,,
  2. Trimmer

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kwa hali hii lazima waendelee kuua ili watawale milele,,
  3. Trimmer

    JamiiForums Tanzania Kwenu Maafisa Usafirishaji

    Allah akhbal
  4. Trimmer

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua atujuze.

    Tukio ni kabla ya mechi kuanza,, na si hilo pekee kuna vurugu kubwa iliibuka wakati wachezaji wa Gaborone wanaingia kiwanjani kwa ajili ya kupasha misuli mabaunsa wa Yanga waliwavamia na zilipigwa ngumi haswa,,
  5. Trimmer

    JamiiForums Tanzania Mzee wakubadili gia angani

    Hujawahi kukaa jela alau usiku mmoja tu,, ongea utakavyo,,
  6. Trimmer

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Ukristo Hauna Mfumo wa Social Guidance Kama Uislamu na Uyahudi?”

    Wewe umesoma huo mwanzo hadi ufunuo,,?
  7. Trimmer

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM, Mawaziri, Askari polisi, mawakili na wanasheria wa serikali na viongozi wengine wa kiserikali; Jifunzeni kwa Hamis Kingwangwala

    Huwajui CCM wewe,, kesho keshokutwa unamkuta ni mkuu wa mkoa fulani,, hawa jamaa hawatupani,,
  8. Trimmer

    JamiiForums Tanzania KERO Polisi Nyegezi wanakamata wateja katika ofisi zetu za Betting

    Kwa mara ya kwanza nawapongeza polisi,, mnabetisha muda wa kazi, saa 1 asubuhi watu hawajapiga miswaki mshafungua vibanda vyenu, watu watafanya kazi sangapi,, mbaya zaidi mnabetisha mpaka watoto, muda wa masomo darasani nyie mnawakatia tiketi za "kausha damu" kwanza naona wanakosea kukamata...
  9. Trimmer

    JamiiForums Tanzania FT: Gaborone United 1-1 Young Africans SC | CAFCL-1st Leg | Botswana National Stadium | 05-09-2026

    Hawa Yanga viwango vya kawaida sana,, ndio muamini sasa kuwa kwenye ligi huwa wanashinda kwa njia zao, ujanja ujanja tu,,
  10. Trimmer

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Lila Awaita Wananchi Wa Ilala Kutoa Ushahidi Kwa Tume Ya Uchunguzi Wa Ghasia Za Uchaguzi Mkuu Oktoba 29

    Hii tume mwishowe itadhalilika na kudhalilishwa,, ya Chande yametosha,, waacheni watu waendelee na maisha yao,,
  11. Trimmer

    JamiiForums Tanzania Labda alipoteza ndugu zake wengi kwenye mapinduzi ya 1964?

    Hii sumu unayo isaga hapa sio poa mkuu,,
  12. Trimmer

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanga: Askari Mwita alifariki kwa Kujinyonga, Uchunguzi unaendelea

    Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake,,
  13. Trimmer

    JamiiForums Tanzania Msaka uteuzi chawa mwingine huyu hapa

    Kuna kambwa kengine nimepitapita TBC hapo nakasikia na kenyewe eti kanasifia katiba hii nzee,,
Back
Top Bottom