SILLENT KILLER 2
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 881
- 1,720
hongera kwa kuacha mana ukishakunywa kichwa cha chini ndo kina fikiria kuliko cha juu
Pombe nimeacha kabisa...Starehe ukichanganya Pombe + wanawake + Club ni hatar sana.
Kwahiyo sasahivi haunywi?.
Ila Mm sion Shida kama mtu umetoka zako mihangaikoni.
Ukapita sehem kunywa bia 2 tatu. Na kurud Home.
Au ukitoka kwenda kuangalia Mpira na ukagusa bia 2 tatu.
Shida sio Kunywa Bia. Ila shida ni kukesha Bar na kuwa Mlevi na Malaya.
Sasa Weng ambao hawatumii Vilevi wanahisi kuwa Kila Mnywaj Bia anakuwa Mlevi na kubeba Tabia za Mlevi mmoja mwenye tabia mbaya.
kweli kabsa ukishakunywa tu kwa unajiamini kupita kiasi afu unajiona wewe ndy wewe hakuna boya unamwogopaHakika,
Pombe na umalaya ni sawa na Pete na kidole
ila ukinywa kichwa hakijatulia utaamua jambo lolote.Hakika. Ila ukinywa kwa ustaarabu na ukawa na staha inakuwa sawa.
Duuh pombe sio kitu kizuri ukiiendekezaila ukinywa kichwa hakijatulia utaamua jambo lolote.
Mana kuna binamu yangu akishapiga tayri pkpkp itapita popote mana kuna siku alijikata kidole coz alijikwaa kwahy ukucha ukatoka akaamua kumalizia na kidoLE
Usituhubirie, hatutoi sadaka ng'oooo.Ilikua mkesha wa pasaka. Mwanangu Zombie akanicheki like always, Oyaa location wapi leo? Nikamwambia wewe tu mwanangu master plan. OK sawa man tutazama mbeya pazuri.. (at that time nilikuwa naishi mbeya).
By that time nilikuwa nilisha break up na demu wangu, i just numbed the pain by parting and hitting on chicks. Nikifanya kujiburudisha. It was fun, ujana maji ya moto. So that day si kutaka kuifanya iwe soo demonic, ni Kaplan nitaenda kula msosi kuna jamaa anajua kupika kuku yuko mitaa ya kwa mtawa pale. Nikala kuku wangu mzima na smoothie muruwaa si kutaka kushiba saana maana baadae kulikuwa kina Waka.
So baadae tukazama club, am such a vibe Nikilewa huwa nageuka kuwa mzungu... Huwa na shuka ngeli mpaka walio table moja wanaona haya. Ila that day, ilikua tofauti kidogo.
Kwanza before... Everything mimi ni mtu ambitious sana, huwa na malengo makubwa sana, ila huwa nakuwa normal maisha halisi ili kufit in. Ndo maana Nikilewa huwa nakuwa kituko tuu.. Madini yangu yote yalivyo kwenye subconscious mind huropokwa tuu..
OK tuendelee that day, kama kawaida pisi zilikuwepo tu, zinasema rada aliye tayari.. Mimi nikajikuta siku hiyo sina time nazo kabisa. I wanted to drink only. Na lile vibe la mle sikuwa concerned nalo kabisa, siku nyingine mimi huenda mpaka kwa Mc na kumnyanganya maiki then nianze kuimba lip sync za ngoma husika Daah...
Ila that day, niliona sijui niko dunia gani mpk washakaji wakawa wanashangaa jamaa vipi huyu? Sasa katika kunywa nikaanza kufeel kama vile stimu haiji kabisa, kawaida yangu huwa nikinywa kidogo tu stimu inapanda ila kulewa mazima kabisa ndo kasheshe..
Ila ile siku stimu haikuja na sikuwa normal kabisa niliona kama vile nipo mazingira yasiyo nifaa kabisa, nilijiona mdogo kama sina thamani yoyote. Nilikuwa naangalia watu wanavyo party na ku vibe nawashangaa hivi hawa wanajielewa kweli? Yaani all you long for in life is this shit? Kunywa kulewa, na kufanya ngono na makahaba ndo kunampa mtu furaha? Nilikaa katika hii tafakuri kwa muda kidogo nikaendelea kunywa mpka nilipoanza kujihisi kama sina amani kabisa then nikamwambia washakaji Oya nina dharura kidogo narudi.
Sikutaja kuwaambia nini kilicho nisibu siku ile ila, Nilijua fika kabisa I was wasting my life away... Na ndipo nilipo jua kuwa addiction na distraction ndo kitu pekee kinacho uwa potential za watu wengi. Mimi nilianza ulevi nilipo kuwa chuo, na mara nyingi nilifanya vile out of peer pressure ila baadae nikaona ni sifa na lifestyle. Ila baada ya tukio la siku ile nilianza kuona kabisa that wasn't my thing nilifanya kwa ajili ya ku numb malengo yangu makubwa na haikuwa haiba yangu kabisa. Niliacha ghafla kujumiika na washkaji wengine wakaanza kuniita majina sijui nimekuwa mlokole, sijui najiona, sijui nimerogwa ila. It was a new begging for me.
Kuna wakati, Mungu hujaribu kukuokoa kutoka dhambini usipo ifwata sauti ya ndani utaendelea kupoteza nguvu na uwezo alio kupatia ndani yako.
Nahisi hii stori itamsaidia mmoja wenu.
Tatizo unajua linaanzia wapi? Hapo hapo unaposema nipite hapa nipige zangu mbili tatu niende home ndipo shetani naye anainuka,, unasikia dj anatangaza leo ni usiku wa mswahili tepe tepe nyuma yake kuna wadada wale wa robo tatu uchi wanatingisha viuno kwa mitindo mbalimbali ya kutia hamasa,, unaona aah wacha nijionee vya ulimwengu,,Starehe ukichanganya Pombe + wanawake + Club ni hatar sana.
Kwahiyo sasahivi haunywi?.
Ila Mm sion Shida kama mtu umetoka zako mihangaikoni.
Ukapita sehem kunywa bia 2 tatu. Na kurud Home.
Au ukitoka kwenda kuangalia Mpira na ukagusa bia 2 tatu.
Shida sio Kunywa Bia. Ila shida ni kukesha Bar na kuwa Mlevi na Malaya.
Sasa Weng ambao hawatumii Vilevi wanahisi kuwa Kila Mnywaj Bia anakuwa Mlevi na kubeba Tabia za Mlevi mmoja mwenye tabia mbaya.
Unakunywa Ilomba unaenda kulala Nsalaga, hiyo siku na ulivyokuwa nje ya "mudi" ungethubutu kutembea kwa mguu kurudi home ungekutwa mzoga wako mashamba ya nanenane.Ilikua mkesha wa pasaka. Mwanangu Zombie akanicheki like always, Oyaa location wapi leo? Nikamwambia wewe tu mwanangu master plan. OK sawa man tutazama mbeya pazuri.. (at that time nilikuwa naishi mbeya).
By that time nilikuwa nilisha break up na demu wangu, i just numbed the pain by parting and hitting on chicks. Nikifanya kujiburudisha. It was fun, ujana maji ya moto. So that day si kutaka kuifanya iwe soo demonic, ni Kaplan nitaenda kula msosi kuna jamaa anajua kupika kuku yuko mitaa ya kwa mtawa pale. Nikala kuku wangu mzima na smoothie muruwaa si kutaka kushiba saana maana baadae kulikuwa kina Waka.
So baadae tukazama club, am such a vibe Nikilewa huwa nageuka kuwa mzungu... Huwa na shuka ngeli mpaka walio table moja wanaona haya. Ila that day, ilikua tofauti kidogo.
Kwanza before... Everything mimi ni mtu ambitious sana, huwa na malengo makubwa sana, ila huwa nakuwa normal maisha halisi ili kufit in. Ndo maana Nikilewa huwa nakuwa kituko tuu.. Madini yangu yote yalivyo kwenye subconscious mind huropokwa tuu..
OK tuendelee that day, kama kawaida pisi zilikuwepo tu, zinasema rada aliye tayari.. Mimi nikajikuta siku hiyo sina time nazo kabisa. I wanted to drink only. Na lile vibe la mle sikuwa concerned nalo kabisa, siku nyingine mimi huenda mpaka kwa Mc na kumnyanganya maiki then nianze kuimba lip sync za ngoma husika Daah...
Ila that day, niliona sijui niko dunia gani mpk washakaji wakawa wanashangaa jamaa vipi huyu? Sasa katika kunywa nikaanza kufeel kama vile stimu haiji kabisa, kawaida yangu huwa nikinywa kidogo tu stimu inapanda ila kulewa mazima kabisa ndo kasheshe..
Ila ile siku stimu haikuja na sikuwa normal kabisa niliona kama vile nipo mazingira yasiyo nifaa kabisa, nilijiona mdogo kama sina thamani yoyote. Nilikuwa naangalia watu wanavyo party na ku vibe nawashangaa hivi hawa wanajielewa kweli? Yaani all you long for in life is this shit? Kunywa kulewa, na kufanya ngono na makahaba ndo kunampa mtu furaha? Nilikaa katika hii tafakuri kwa muda kidogo nikaendelea kunywa mpka nilipoanza kujihisi kama sina amani kabisa then nikamwambia washakaji Oya nina dharura kidogo narudi.
Sikutaja kuwaambia nini kilicho nisibu siku ile ila, Nilijua fika kabisa I was wasting my life away... Na ndipo nilipo jua kuwa addiction na distraction ndo kitu pekee kinacho uwa potential za watu wengi. Mimi nilianza ulevi nilipo kuwa chuo, na mara nyingi nilifanya vile out of peer pressure ila baadae nikaona ni sifa na lifestyle. Ila baada ya tukio la siku ile nilianza kuona kabisa that wasn't my thing nilifanya kwa ajili ya ku numb malengo yangu makubwa na haikuwa haiba yangu kabisa. Niliacha ghafla kujumiika na washkaji wengine wakaanza kuniita majina sijui nimekuwa mlokole, sijui najiona, sijui nimerogwa ila. It was a new begging for me.
Kuna wakati, Mungu hujaribu kukuokoa kutoka dhambini usipo ifwata sauti ya ndani utaendelea kupoteza nguvu na uwezo alio kupatia ndani yako.
Nahisi hii stori itamsaidia mmoja wenu.
Hongera kwako mkuu Kwa kufanya vyote hivyo at moderation. Wengi husombwa kabisa na uraibu kutoka inakuwa ngumu kabisa.Kuparty Huwa napari one at a time.
Masanga napiga ila sio mlevi-mbwa, sio mlevi,sio mnywaji najihesabia Mimi MUONJAJI tu nashukuru sijatopea huko.
Nashukuru tangu ujana nakua sijawahi vuta FEGI Wala MSUBA. washikaji wengi walizipiga hizi kitu ila Mimi nilikuwa pale nawazoom tu.
Nilishawahi test NYAGI, K-VOO na the like ila sijawahi zifeel kwamba ndio vitu vyangu bia yangu pendwa KILI na sometime nagongea Red wine.
Nyuchi ndio mahali napopapenda sema ninajuabkujicontrol napo😃
Ujana wangu umejiendeq enda tu kwasfahili hio
Ilikuwa nusu nitopee kwwnye Gambe mazima nikagundua Mimi Bado masikini Nina vitu muhimu vingi vya kufanya na stori ikaishia hapo
Kwanza itaharibu afya yako.. Wote tunajuaEbu nambie pombe inaweza athiri vipi potential yako(utendaji kazi wako) coz hapa kuna teacher huku mtaani huwa anakesha vilabuni ila akija shuleni ni ung'eng'e kwa kwenda mbele na huwezi mshinda kwa chochote iwe kuwahi pia lesson plan na maazimio yeye ndo huwa wa kwanza kukusanya de Gunner