Mkuu ukipata solution uje tubadilishane uzoefu.mimi nna tatizo hilohilo nna mark II grand 110 la 2002.ni zito na linakula wastani wa lita 1 kwa km 5.5 pia stering yake ni ngumu
Nimebadili plugs,safisha pump kwenye tank,safisha nozel lakini wapi bado zito na linabugia wese balaa hata kama ni...
Mimi ni geologist by profession.hamna kitu duniani kinaitwa gm per kilo.always ni gm per ton.ni hesabu rahisi wanachukua reserve ya dhahabu iliyokua proven wanagawa na idadi ya ore itayochimbwa ili kupata hyo proven reserve ndo wanapata hyo gm per ton.nia yao ni kujua gharama ya kuchimba kila...
Labda nikuulize swali,fuvu la binadamu wa kale kabisa limepatikana nchi gani?ni sehem gani wanyama wengi wanapatikana sehem 1 kwa mkupuo?ni nchi gani ambayo Mungu aliumba kila kitu kabla hajapumzka siku ya 7.mi nadhan ukijibu hayo maswali utagundua bustani ya eden ndo Tanzania/tanganyika
The bold namimi naomba uwe unanitag simulizi zakoo zoooteee.kwakweli ww ni kichwa mtu akianza kusoma makala yako akaishia katikati basi anamatatizo upstairs
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.