yna12
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 1,936
- 2,318
NashukuruUnaongeza Nguvu za Kiume sana huo mti.
Sasa tegemea wateja dada.
NashukuruUnaongeza Nguvu za Kiume sana huo mti.
Sasa tegemea wateja dada.
Mimi nauza majani ya mlonge..ambayo hua nakausha ndani..yakikauka naenda mashine nayasaga..nachekecha napaki kwenye vifungashion....faida zake ni hizi:inaweka sukari ya mwili sawa..inaondoa tatizo la presha ya kupanda..inatibu kansa.pumu.aleji..kifua cha mda mrefu..U.T.I .malaria sugu..unasafisha figo n ini..unakufanya usizeeke..unatibu maradhi ya mifupa..unaondoa tatizo la wasiopata usingizi..unatibu nguvu za kiume..unaondoa mabaka mwilini...n.ksisi wenyewe tunahitaji. tupe faida zake
Bado sijapata vibali..ndio nataka nianze fuatiliaUngefafanua vizuri na kama una vibali vyote vya kuuza nje pia ungeweka na tupicha basi
Hapo kwenye kutozeeka hapo....Mimi nauza majani ya mlonge..ambayo hua nakausha ndani..yakikauka naenda mashine nayasaga..nachekecha napaki kwenye vifungashion....faida zake ni hizi:inaweka sukari ya mwili sawa..inaondoa tatizo la presha ya kupanda..inatibu kansa.pumu.aleji..kifua cha mda mrefu..U.T.I .malaria sugu..unasafisha figo n ini..unakufanya usizeeke..unatibu maradhi ya mifupa..unaondoa tatizo la wasiopata usingizi..unatibu nguvu za kiume..unaondoa mabaka mwilini...n.k
10000 mpendwaHapo kwenye kutozeeka hapo....
Ni bei gani hapo?
Hahahaa una matatizo Sana wwHapo kwenye kutozeeka hapo....
Ni bei gani hapo?
Huna vibali sasa kama ni sumu?Bado sijapata vibali..ndio nataka nianze fuatilia![]()
Hakuna sumu..familia yangu na baadhi ya watu wanatumia na hakuna aliekufa wala kudhuruka..zaidi tu wananishukuru kwa faida walizopata baada ya kutumia mlongeHuna vibali sasa kama ni sumu?
Hakuna sumu..familia yangu na baadhi ya watu wanatumia na hakuna aliekufa wala kudhuruka..zaidi tu wananishukuru kwa faida walizopata baada ya kutumia mlonge
Dawa za aina mbili tu mpaka dunia itaisha haziwezi kupatikana.Mimi nauza majani ya mlonge..ambayo hua nakausha ndani..yakikauka naenda mashine nayasaga..nachekecha napaki kwenye vifungashion....faida zake ni hizi:inaweka sukari ya mwili sawa..inaondoa tatizo la presha ya kupanda..inatibu kansa.pumu.aleji..kifua cha mda mrefu..U.T.I .malaria sugu..unasafisha figo n ini..unakufanya usizeeke..unatibu maradhi ya mifupa..unaondoa tatizo la wasiopata usingizi..unatibu nguvu za kiume..unaondoa mabaka mwilini...n.k
I am impressedBado sijapata vibali..ndio nataka nianze fuatilia![]()
Sio tu ndugu mpendwa..kuna wateja ambao nimeshawauziaKwahiyo kuandika hivyo kwamba ndugu zako wanatumia tayar imetosha kuwa haidhuru?
NimekuelewaDawa za aina mbili tu mpaka dunia itaisha haziwezi kupatikana.
Dawa ya uzee
Na dawa kuzuia kufa
Dada fanya biashara kwa ukweli na uadilifu.
Samahani hivi babu yako km yupo hai mpaka leo hii ni kijana wa kufanana na..... wako? ila nisamehe tu
Anza kutafuta soko la uhakika ndani kisha tafuta huko ulaya, maana hao wazungu wanatuletea sisi hayo MATETESEKRIN wenyewe wanatumia haya haya majani kwa jina la kiingereza tu
Asante..ubarikiweI am impressed
Safi sana umefanya kazi nzuri sana
Huku ulaya vigezo vyao ni vingi sana fuatilia na Mungu atakuongoza
Baadae ulete mrejesho na bidhaa gani zingine unaweza pack namna hiyo
Kama coffee au cashews nk
Tunaweza jadili hili in future
Ahsante nitafanyia kazi hilo..barikiwaPackaging yako ni nzuri sana. Jaribu kwenda kwenye maonyesho kama sabasaba. Unaweza kupata wateja wa ndani na nje ya nchi