mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,758
structure:the arrangement of and relations between the parts or elements of something complex.Unaweza ukanipa uthibitisho kuwa hiyo gharika ilibadilisha structure..??? Na kwanini ufananishe jiografia na structure....
What is structure...??
What is geograghy..??
geography :neno la kigiriki (orgin). maaa yake earth discription au ufafanuzi juu ya uso wa dunia.
kwa mujibu wa bibilia. gharika ikiangamiza dunia nzima.
bibilia inasema maji yakapata nguvu.
maji yakipata nguvu nenda kilosa mto mkondoa utapata mwanga.
au msimbazi. chukua hiyo case ifanye iwe dunia nzima.
ndio maana yangu kwa maji ya kawaida ya kuiacha dunia vilevile samaki wangeingezeka sio kufa.
hivyo hiyo nguvu ya maji ambayo inauwezo wa kubadili structure ya tabata msimbazi ilikuwa na uwezo wa kubadili structure ya dunia. inatosha kusema ilikuwa duniani. ila kusema ilikuwa iraq kwa sababu ya ile mito sio lazima iwe kweli. ni maoni mazuri ila sio fact