Recent content by Trezo

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumia azam tv, zuku, startimes, ting na continental bureeee kabisa

    Ingiza *#06# kwenye simu yako utapata namba za kujiunga na kifurushi kikubwa.jaribu sasa,
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba inakuja na historia mpya

    sare ziko 8;hutaki acha
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wabongo na ushamba wa mitandai ya kijamii

    ushamba tuu hata wewe mshamba unayezisoma
  4. T

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio binti Komando

    Kwanza atueleweshe vizuri kapita wapi?picha inaonesha nyuma kwa Jide,sasa ndo tuelewe alikopita au,,,tupe ufafanuzi zaidi mkuu.
  5. T

    JamiiForums Tanzania CCM wanajua wanachokifanya,

    Mimi ni mwanahesabu,,iko hivi A.Wanachama na wapenzi/wafurukutwa wa chama tawala wa kawaida na wafanya biashara wenye nia njema na chama kuendelea kushika dola wanaaswa kukichangia chama kiasi chochote kukamilisha ajenda ya Kura ya maoni,uchaguzi wa serekali za mitaa na uchaguzi mkuu 2015...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa aache kudanganya watu ''awadanganye CHADEMA basi''

    mm nataka cement ishuke bei mpaka 5000 ndo tujue ukweli.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mangula Amuonya Mizengo Pinda, Agawa Pesa za ESCROW kama Njugu

    Amekopa pesa za Escrow acc ili akiingia magogoni azirudishe taratibu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na team yake ndani ya Ukerewe

    Naona CHADEMA Kimekuwa chama cha Wakurya sasa hivi.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa amlipua Rais Kikwete kwa kujigeuza Ofisa Manunuzi

    siku 30 hazijafika,zikifika tuu ccm tunaandamana kushinikiza asign katiba mpya na ipigiwe kura ya NDIYO@CCM au HAPANA@UKAWA tuone nani mshindi.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nailaani serikali inayoongozwa na CCM

    Wamekarabati MOCHOARI kwa sababu inapokea wote bila kujali itikadi ya chama
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini ccm hawapendi usafiri wa reli

    Muda mrefu sana Reli zote tatu kubwa na zenye kuweza kuinua uchumi wa nchi na bado ikatoa ajira kwa vijana wengi wa Tanzania lakini chama chetu cha mapinduzi kimeshindwa kuendeleza mradi huu matokeo yake reli ya Tanga na Moshi ni kama mabaki ya kale imebaki historia mashuleni. Nauliza tuu ni...
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa Kiislamu hawautaki tena ukewenza?

    Kutokana na mabadiliko ya kiuchumi,kiutamaduni na Elimu,ndani ya jamii asilimia kubwa ya wanawake wamewezeshwa kiuchumi,kielimu na wameweza kujitambua na ss huwadanganyi kitu. Maisha ya wake zaidi ya mmoja lengo ni kusaidia wanawake masikini pia kuongeza idadi ya watu duniani kulingana na...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na Makala za Prof. Kitila Mkumbo magazetini

    Alimsaidia sana Dk Slaa uchaguzi wa 2010 kidogo ampige chini Kikwete,ndo maana Kikwete anahasira naye,hawezi mpa pande huyo abaki chuo kufundisha basi.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Azam Airlines Yaja

    Kwani pesa zikiibiwa ndani ya nyumba baba akanyamaza kimya unahisi nn
  15. T

    JamiiForums Tanzania C.E.O & Founder wa Jamiiforums, Maxence Melo apata mtoto wa kiume

    vyovyote vile hongera zake nyingi tumepata mrithi wa forum.
Back
Top Bottom