Recent content by Transient

  1. T

    JamiiForums Tanzania Serikali: Unaweza kuamka kesho mgawo wa umeme umeisha

    Mramba hatuna shaka na maneno yako ,ngoja tusubili muda uta ongea.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Milo mitatu kwa siku ni kwa masikini

    Tiba sahihii ya kupunguza mwili ni kula tu.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tujaribu Mawaziri wahandisi umeme na watalaamu wa sekta ya umeme Wizara ya Nishati

    Prof .Mark Mwandosya hajawai kuwa Waziri wa Nishati ila alikuwa katibu mkuu Wizara ya Nishati,Madini na Nishati.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tuliopo Club Element muda huu tujuane

    Mkuu ukimaliza hapo Karibu Hallo Jua tujumike
  5. T

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Yoga time hii nipo na sherekea Christmass hope kesho niki amka saa sita mchana nita kuta uzi uko ubaoni.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Afya yako haiko gym, iko jikoni kwenye aina ya chakula unachokula

    Mkuu asante sana kuonyesha nia ya kushare nasi hiki unacho kijua tafadhari ukipata wasaa tupe elimu hii muhimu kwa afya zetu kwenye uzii huu huu.Natanguliza Shukrani
  7. T

    JamiiForums Tanzania Afya yako haiko gym, iko jikoni kwenye aina ya chakula unachokula

    Chakula ndio dawa ya ukweli ya kupunguza mwili.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Je, Naibu Waziri Mkuu Biteko kamshindwa mkurugenzi EWURA kwenye suala la kutoa vibali gesi asilia ya magari?

    Ukipita ubungo opposite na terminal na Tamara pale Karibu na Bodi ya mikopo kuna misululu mirefu muda wote ,nasikia mtu ana tumia hadi masaa matatu ili zamu yake ya kujaza ifike
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitaifumua Wizara ya Mambo ya Nje

    Sasa Nime elewa hizi hamishwa hamisha za mawaziri ndani ya muda mfupi kwenye hii wizara .
  10. T

    JamiiForums Tanzania Huyu kiongozi wa mwendokasi anastahili kubaki ofisini? Analalamika abiria kuongezeka badala ya kuona kama fursa. Watumishi wa umma duu

    Hapo bado route ya mbagala hali iko hivi wa ruhusu sekta binafsi wafanye hiyo biashara.Tuna ona mtu kams Aboud anao uwezo wa kuingiza magari zaidi ya 20 mapya kwa wakati mmoja.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kukabiliana na ongezeko la bei ya mafuta? Ikiwa mimi natumia gari?

    Pia kituo kingine kina tegemewa kujengwa chuo kikuu cha UD ,nina mategemeo makubwa hizi bei za mafuta kuendelea kupanda ita saidia ku push kujenga vituo vipya vya CNG.Pia nina matumaini katibu mkuu nishati na naibu waziri mkuu wana enda kuongeza idadi ya vituo vya CNG huu ni wakati wa Naibu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mazoezi hayapunguzi uzito, Madaktari acheni kusema uongo

    Naombeni mni saidie nina hitaji kabisa kuacha kula vyakula vya wanga,nitumie vyakula gani ?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mazoezi hayapunguzi uzito, Madaktari acheni kusema uongo

    Mkuu naomba kuuliza ili usile vyakula vya wanga ukiacha mboga mboga huwa una kula chakula gani??
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto afanya mabadiliko makubwa Baraza la Mawaziri

    Kaka mbona una taka kuniua kwa pressure kiti chenyewe hata sija kizoea ,Unge taja na nchi kwenye kichwa cha habari.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi hii viongozi wanauliwa pasipo uchunguzi? Ninaagiza uchunguzi huru kifo cha Rev. Mtikila

    Ardhi ya Ludewa ime toa watu wenye misimamo isiyo yumba kama Filikunjombe,Mtikila,Kolimba
Back
Top Bottom