Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,791
- 58,403
Unajigamba
Watanzania wengi wana utapiamlo unaotokana na ukosefu wa chakula na wala si vinginevyo.Nadhan mtoa hoja kaeleza vuzuri sana namna anavyoona inafaa mtu kujiwekea ratiba za milo.
Kaeleza umuhimu wa kula milo miwili badala ya mitatu na maana yake.
Sasa wewe ulitakiwa uje na maelezo yaliyojitosheleza kutetea hoja ya milo mitatu na faida zake.
Kuna mwingine atakuja na minne ama mitano nk nk.
Nadhani mtu ale kutokana na mahitaji ya mwili kwa namna ya kaz anazozifanya, kuliko kujikaririsha ratiba za vyakula ambapo vikiliwa hurundikana tu mwilini na kusababishia watu wengi madhara ya kiafya.
Suala la kipato ama umasikini tusiliweke kwenye mjadala huu.
Nia ni nini haswa? Kuishi milele au? Maisha ni zawadi, ipokee kwa furaha. Unajibanaaa boda anakugonga unakufa unamuacha pita msechu na puto lake.Masikini sisi ndio tunapiga milo mitatu kwa siku tena sio miatatu tu inaweza kuwa minne. Make tunapiga Chai, mchana tunapiga Chakula jioni Supu na bado tena Chakula cha usiku. Hapo katikati kabla ya saa 7 kuna mara soda, mara karanga maea matunda.
Matajir wengi wanakula milo miwili kwa siku, asubuhi na jioni basi inatosha na wana ratiba na mpangilio wa kula, sisi masikini ssala la mpangilio wa kula halipo na ndio maana tuna figire hazieleweki eleweki.
Prof Janabi akisema anakula milo miwili mimi namuelewa fika hio ni hulka ya watu wengi wenye pesa zao. Sasa masikini lazima tushangae anaweza vipi kula milo miwili kwa siku.
Kisayansi kwanza ieleweke hakuna kitu na hahisi njaa, ile ni saikolojia isha jengeka kwemye ubongo ikifika saa 7 tu unataka kula, au saa 4 chai. Ila mwili sio kwamba ubakuta umeishiwa chakula hapana ila ni uramaduni mwili umeijengea.
Watu wanao funga ndio maaana siku za mwanzo wanapata sana shida ila wakisha zoea ile hali inapotea kabisa, sasa wakina Prof Jajabi walisha jitwin, mchana hawezi hisi njaa make kamwe.
SureShukrani mkuu ila mengine hapo yanahitaji commitment sio ya mchezo. Hongera kwa kuweza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiona mtu ni Prof na daktari anavaa Pete za majini, mtilie shaka.
Haya mapimbi yanataka kutufanya wajinga,Sasa matajiri wakubwa zaidi hawali kabisa. Pumbav sana wewe na huyo Janaba.
Yule wa mbagala alie niambukiza uti grade one aiseee...🤨MwaJ gani huyo tumdiscus mkuu?
Ilikuwaje mkuu😄😄Yule wa mbagala alie niambukiza uti grade one aiseee...🤨
Ukiwa na mavyakula mengi tu kwenye friji yamejaajaa unakua huna hamu ya kula hilo nimeshuhudia, Ila ukiwa huna ndio hivyo kulakula tu mda wote km funzaMatajir wengi wanakula milo miwili kwa siku
😂😂😂 Za Majini gani yaleyale ya Mayele au mengine?Ukiona mtu ni Prof na daktari anavaa Pete za majini, mtilie shaka.
Prof baada ashughulike kutafuta Dawa ya kifo ili watu waishie hata miaka 500 ye anahangaka na kuwaambia watu waache kulakula, hivi anajua kwamba Njombe watu wanashindia Kande wiki nzima sio kwa kupendaPesa nitafute Mimi , misosi anipangie Prof. Uchwara ambaye ameshindwa kugundua hata dawa ya minyoo.
No.
Professor uchwaraProf baada ashughulike kutafuta Dawa ya kifo ili watu waishie hata miaka 500 ye anahangaka na kuwaambia watu waache kulakula, hivi anajua kwamba Njombe watu wanashindia Kande wiki nzima sio kwa kupenda
Umeandika kimaskini, kitoto na kama mtu asiyejitambuaMasikini sisi ndio tunapiga milo mitatu kwa siku tena sio miatatu tu inaweza kuwa minne. Make tunapiga Chai, mchana tunapiga Chakula jioni Supu na bado tena Chakula cha usiku. Hapo katikati kabla ya saa 7 kuna mara soda, mara karanga maea matunda.
Matajir wengi wanakula milo miwili kwa siku, asubuhi na jioni basi inatosha na wana ratiba na mpangilio wa kula, sisi masikini ssala la mpangilio wa kula halipo na ndio maana tuna figire hazieleweki eleweki.
Prof Janabi akisema anakula milo miwili mimi namuelewa fika hio ni hulka ya watu wengi wenye pesa zao. Sasa masikini lazima tushangae anaweza vipi kula milo miwili kwa siku.
Kisayansi kwanza ieleweke hakuna kitu na hahisi njaa, ile ni saikolojia isha jengeka kwemye ubongo ikifika saa 7 tu unataka kula, au saa 4 chai. Ila mwili sio kwamba ubakuta umeishiwa chakula hapana ila ni uramaduni mwili umeijengea.
Watu wanao funga ndio maaana siku za mwanzo wanapata sana shida ila wakisha zoea ile hali inapotea kabisa, sasa wakina Prof Jajabi walisha jitwin, mchana hawezi hisi njaa make kamwe.
Hahaaaaa sisi tunapenda bwana kwani kande ni chakula chetu cha asili.Prof baada ashughulike kutafuta Dawa ya kifo ili watu waishie hata miaka 500 ye anahangaka na kuwaambia watu waache kulakula, hivi anajua kwamba Njombe watu wanashindia Kande wiki nzima sio kwa kupenda