Recent content by Trainer

  1. T

    Diamond Platnumz – the next Bill Gates?

    Bill na diamond ni mbingu na ardhi , Gates ana magari , ndege na meli za ghali na anasa sana , nyumba yake yenyewe ni habari nyingine. Acha kupotosha pitia tena google kwa usahihi
  2. T

    Ukitaka kujia ukubwa wa Manara angalia Yanga inawasemaji wangapi

    Utakuwa mgeni wa mpira. Mpira ni pesa na timu nzuri ya scout kusajiri wachezaji wa maana kulingana na budget . Mengine ni mbwembwe za kuja na kuondoka . Ukitaka kujua udogo wa manara aende singida united na makelele yake na Mo aende Costal union na pesa zake uone nani ata shine. Timu...
  3. T

    Malaria ndio inaua zaidi kuliko COVID19, mbona nguvu nyingi ziko kwenye COVID19

    Toka shule ya msingi tunafundishwa malaria, mpaka mitihani tunajua swali la malaria au hiv lipo. Tunajua malaria ni nini inaambukizwaje na unajikinga vp, maeneo mengi yana mabango ya malaria Tv kila muda matangazo yanapita na hii imekuwa continuous tangu zamani . Leo hii unasema Malaria...
  4. T

    Naomba kujuzwa Software mbadala wa MS offices

    Sp far hakuna mbadala wa Ms office package . Microsoft ni monopoly katika category hiyo
  5. T

    Nini Chanzo cha iphone nyingi kufail fingerprint?

    Kuna refurb kibao ambazo siyo certified . Zipo nyingi mno na very cheap with cheap materials Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. T

    Nini Chanzo cha iphone nyingi kufail fingerprint?

    Nyingi ni refurbished iPhones ndo zina hiyo fingerprint failure . Kumbuka ukihamisha ile home button ukaipeleka kwenye Cm nyingine imhaifanyi kazi au inaleta complications . Sasa Mchina ana refurb iPhone anaswitch hizo fingerprint home buttons mwisho wa siku hazikai.. Ukiona fingerprint failure...
  7. T

    Mwakyembe kakosa nini?

    Mtu yeyote anakukosoa uwe na degree Mia au Mia tano , issue ni anakukosoa kwenye kitu gani . Kujua vitu au Kuwa na ujuzi juu ya kitu Fulani hakuangalii degree . Mtu mwenye form four na physics yuko vizuri anamkosoa na kumfundisha mtu mwenye phd isiyo ya physics /science ..
  8. T

    Ni muda muafaka sasa iPhone waombe msaada kwa Tecno watengenezewe betri imara

    iPhone refurbished ndo zinaisha chaji na ndo asilimia kubwa watu wanazo wao wanadhani ni mpya, zimejaa kkoo na kijitonyama na maeneo mengine ya nchi , hizi tunazoita full box . Ukichukua iPhone mpya toka apple store utabadili haya uliyoandika.
  9. T

    Update mpya ya iOS 13.2: Wafanyakazi wa Apple wanaweza kusikiliza mawasiliano yako

    AI (Artificial intelligence) zote lazima mwanadamu azi review au aingize inputs mpaka hapo zitakapokuwa perfect . Apple wamekuwa wawazi kumpa mteja uhuru wa kuchagua au kukataa. Lakini perfection ya siri kama AI nyingine inategemea sana review ya mwanadamu.
  10. T

    Vita vya landrover freelander vinatafutwa

    Nipe direction, ilala ipi? , je huo mnada upo kila siku au ni baadhi ya siku
  11. T

    Vita vya landrover freelander vinatafutwa

    Mwenye Spare zifuatazo za landrover freelander (1998) anichek Kioo cha mbele Control box Dash board Taa za nyumba mbili moja ya juu nyingine ya chini Cv joint Brake system , Call /Whatsap 0782 049 547
  12. T

    Mieleka ni uongo?

  13. T

    Mieleka ni uongo?

    Bingwa wa haya maigizo ni undertaker [emoji23][emoji23][emoji23], anatoka mbali anamrukia adui aliye nje ya ulingo na adui anakinga mikono kumdaka then wote wanaanguka Kama wamekufa. Kale ka 619 ka ray masterio ni ka kumrusha mtu meter tano kweli 🤣🤣.
Back
Top Bottom