Hao waliokupa vyeti hivyo...wameajiliwa kwa sababu walisoma (wana degree) hizo unazoziulizia.
Uko sahihi Ndugu, isipokuwa acha kujibizana na wapumbavu utaonekana huna uelewa.Mkuu kwetu Kinondoni.
Kipi kijinga mheshimiwa Mwakyembe kafanya?
Asante mkuuUko sahihi Ndugu, isipokuwa acha kujibizana na wapumbavu utaonekana huna uelewa.
Mwenyew nlikua nashangaa kaandika nn ila kumbe watu wa ku probe kwa nyie mpo,kongole kwako mkuuComplex inferiority =
Inferiority complex =![]()
Aliyoonesha mwenye shahada nne ni heshima?Hi everyone in here!
Bila kupindapinda nasema hivi: Watanzania wengi hasa hasa maskini na wasio na elimu dunia wanasumbuliwa na complex inferiority yaani umaskini wao na udogo wa elimu yao unawafanya wawaone matajiri na wenye elimu kama maadui. Kwa tabia hizi tutafikia kweli uchumi wa viwanda?
Juzi hapa nimepost kuhusu uncle wangu aliyechanganyikiwa. Huwezi amini moderators wakatoa wakauamisha uzi wangu na kuupeleka kwenye jukwaa la utani. Eti hawaamini kuwa yale ni maisha ambayo watanzania wanaishi. Wanakataa kuwa kuna shule za nursery watoto wanalipa milioni 27 kwa mwaka! Tutafika tuendako kweli?
Juzi Mheshimiwa Mwakyembe amesema hawezi kukosololewa na MTU wa elimu ndogo kwa kuwa yeye ni msomi wa degree nne. Watu wamepanic wametukana hadi wanatia huruma.
Akilini nikajiuliza kama degree nne wanatukana, vipi Mzee wangu Rutashoborwa mwenye degree 7 na anampango wa kuongeza tatu, siku akiitisha press conference na kusema hivyo so nchi itamtenga.
Mimi binafsi, sijaona kosa la Mwakyembe, degree nne ni za kwake, darasa la saba ni la kwako. Kila mtu ana uwezo wake na tuuheshimu.
Tukiheshimiana tutapendana, tukipendana tutaheshimiana.
Jambo Tanzania.
Mkuu hatuna complex inferiority,tunaAngesema anasumbuliwa na mahusiano kwa miaka minne. Hapo ingekuaje?
Tafuta zako na wewe ile complex inferiority ikutoke.
Hi everyone in here!
Bila kupindapinda nasema hivi: Watanzania wengi hasa hasa maskini na wasio na elimu dunia wanasumbuliwa na complex inferiority yaani umaskini wao na udogo wa elimu yao unawafanya wawaone matajiri na wenye elimu kama maadui. Kwa tabia hizi tutafikia kweli uchumi wa viwanda?
Juzi hapa nimepost kuhusu uncle wangu aliyechanganyikiwa. Huwezi amini moderators wakatoa wakauamisha uzi wangu na kuupeleka kwenye jukwaa la utani. Eti hawaamini kuwa yale ni maisha ambayo watanzania wanaishi. Wanakataa kuwa kuna shule za nursery watoto wanalipa milioni 27 kwa mwaka! Tutafika tuendako kweli?
Juzi Mheshimiwa Mwakyembe amesema hawezi kukosololewa na MTU wa elimu ndogo kwa kuwa yeye ni msomi wa degree nne. Watu wamepanic wametukana hadi wanatia huruma.
Akilini nikajiuliza kama degree nne wanatukana, vipi Mzee wangu Rutashoborwa mwenye degree 7 na anampango wa kuongeza tatu, siku akiitisha press conference na kusema hivyo so nchi itamtenga.
Mimi binafsi, sijaona kosa la Mwakyembe, degree nne ni za kwake, darasa la saba ni la kwako. Kila mtu ana uwezo wake na tuuheshimu.
Tukiheshimiana tutapendana, tukipendana tutaheshimiana.
Jambo Tanzania.
Tofautisha ugonjwa na elimu. Kukosa elimu dunia sio ugonjwa.
Akisema hivyo, huyo ni mbaguzi! Mnyanyapaaji.
Wewe pia unaamini kuwa mtu mwenye PhD hawezi kosolewa na std 7?Hi everyone in here!
Bila kupindapinda nasema hivi: Watanzania wengi hasa hasa maskini na wasio na elimu dunia wanasumbuliwa na complex inferiority yaani umaskini wao na udogo wa elimu yao unawafanya wawaone matajiri na wenye elimu kama maadui. Kwa tabia hizi tutafikia kweli uchumi wa viwanda?
Juzi hapa nimepost kuhusu uncle wangu aliyechanganyikiwa. Huwezi amini moderators wakatoa wakauamisha uzi wangu na kuupeleka kwenye jukwaa la utani. Eti hawaamini kuwa yale ni maisha ambayo watanzania wanaishi. Wanakataa kuwa kuna shule za nursery watoto wanalipa milioni 27 kwa mwaka! Tutafika tuendako kweli?
Juzi Mheshimiwa Mwakyembe amesema hawezi kukosololewa na MTU wa elimu ndogo kwa kuwa yeye ni msomi wa degree nne. Watu wamepanic wametukana hadi wanatia huruma.
Akilini nikajiuliza kama degree nne wanatukana, vipi Mzee wangu Rutashoborwa mwenye degree 7 na anampango wa kuongeza tatu, siku akiitisha press conference na kusema hivyo so nchi itamtenga.
Mimi binafsi, sijaona kosa la Mwakyembe, degree nne ni za kwake, darasa la saba ni la kwako. Kila mtu ana uwezo wake na tuuheshimu.
Tukiheshimiana tutapendana, tukipendana tutaheshimiana.
Jambo Tanzania.
6 PH.D,704 MASTERS HOLDERS AMONG APPLICANTS FOR DRIVERS JOB IN DANGOTE.Sasa kipi alichofanya mheshimiwa Mwakyembe mpaka ikilinganishe na kunya kwenye kituo cha mabasi?
Hongera Jf bwana uneshapewa darasa umeshajua tofautiMTU akikosea kwako furaha..
Hii ni moja ya dalili ya inferiority complex!
Hili suala la kuruhusiwa kutumia ID fiche hapa JF lisitufanye tutumie majina ya makabila yasiyotuhusu. Haiwezekani Mhaya akawa Popoma kiasi hiki.Hi everyone in here!
Bila kupindapinda nasema hivi: Watanzania wengi hasa hasa maskini na wasio na elimu dunia wanasumbuliwa na complex inferiority yaani umaskini wao na udogo wa elimu yao unawafanya wawaone matajiri na wenye elimu kama maadui. Kwa tabia hizi tutafikia kweli uchumi wa viwanda?
Juzi hapa nimepost kuhusu uncle wangu aliyechanganyikiwa. Huwezi amini moderators wakatoa wakauamisha uzi wangu na kuupeleka kwenye jukwaa la utani. Eti hawaamini kuwa yale ni maisha ambayo watanzania wanaishi. Wanakataa kuwa kuna shule za nursery watoto wanalipa milioni 27 kwa mwaka! Tutafika tuendako kweli?
Juzi Mheshimiwa Mwakyembe amesema hawezi kukosololewa na MTU wa elimu ndogo kwa kuwa yeye ni msomi wa degree nne. Watu wamepanic wametukana hadi wanatia huruma.
Akilini nikajiuliza kama degree nne wanatukana, vipi Mzee wangu Rutashoborwa mwenye degree 7 na anampango wa kuongeza tatu, siku akiitisha press conference na kusema hivyo so nchi itamtenga.
Mimi binafsi, sijaona kosa la Mwakyembe, degree nne ni za kwake, darasa la saba ni la kwako. Kila mtu ana uwezo wake na tuuheshimu.
Tukiheshimiana tutapendana, tukipendana tutaheshimiana.
Jambo Tanzania.
Kosa hili linatosha kupima "digrii nne" za mtoa mada.Complex inferiority =
Inferiority complex =![]()
Kosa sio degree nne , shida ni Kubeza kuwa hawezi kushauriwa kwa lolote na asiyesoma! Kiburi cha uzimaHi everyone in here!

Mkuu acha fikra za kimaskini.Kosa sio degree nne , shida ni Kubeza kuwa hawezi kushauriwa kwa lolote na asiyesoma! Kiburi cha uzima
Kukosea lugha sio kukosa maarifa mkuu.Kosa hili linatosha kupima "digrii nne" za mtoa mada.
Ukiacha pombe utafanikiwa sanaHili suala la kuruhusiwa kutumia ID fiche hapa JF lisitufanye tutumie majina ya makabila yasiyotuhusu. Haiwezekani Mhaya akawa Popoma kiasi hiki.