Wakuu mnaosema mieleka ni maigizo

Nyundo, viti, ngazi, meza, ulingo nk vinavyopatikana katika ulingo wa mieleka vyote ni nyolonyolo kabisa.
 
Dah nina miaka kadhaa sasa nimeacha kuangalia, sio maigizo ila ina set of planned actions
 
mieleka ya kweli ni ile ya olympic tu, mingine hiyo ya WWE yote ni feki hata iwe ya namna gani, ni sawa na kusema movie za schwaznneger kama Predator, Au Terminator ni za kweli kwa sababu ni kali na za kutisha, usidanganyike mieleka hiyo ya entertainment ni feki kila kitu kimepangwa,
Na ndio maana huwa kuna tahadhari ' Dont try at home'.
 
Sasa itabidi tuanze kutumia fimbo maana mmekuwa vichwa ngumu hamtaki kuelewa. Uliwahi kuona mieleka ya kijapani?

Ni zaidi ya maigizo....
 
Wakuu hivi mnaosema mieleka ni maigizo mmeichecki match ya hell in cell ya seth rollins? mkiiangalia ndio mlete na ushahidi kuwa ilipangwa

Maigizo inamaanisha hawapigani kweli
Mieleka ni kama kupimana kuchoka ila si kupigana kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom