Natafuta mtu wa kunitengenezea inventory management system

Hello developers

Ataka mtu wa kutengeneza IMS ya products.

Kigezo ni kunionyesha kazi zako au demo.

Malipo ni maelewano (ila bajeti yangu ni laki mbili mpaka 1M). Kwaiyo inategemea na kazi yako

Mawasiliana DM

My features list.
Dashboard
All( profit and loss, expenses,sale, income .............)
Invoives
Package
Shipped packages
Delivery package
Sales
Sales returns
All sales
Products & servives
Customera

Expensive
Vendors
Bills
Suppliers
Employeea
Reports
Taxes
Account

Sina uwezo wa kutoa kwa mambo yote nimeandika hapo ila tu nawezakusema hayo ni mambo nataka yawepo kwenge sofware yangu.

My features utakuwq umeelewa nataka nini ila Nakaribisha mawazo yako pia.

Asante

Umepata.. Njoo inbox
 
Ushauri:
Nyingi ya Inventory Management Software zinazoandaliwa na programmer wetu hapa nchini zinakuwa na mapungufu mengi na pia nyingi zinafanyakazi online, ni mtego unaofanywa wa kutokukumilikisha kiukamilifu na hivyo unajikuta unaingia gharama ya internet pamoja na operation charges.
Ni bora ukajipatia ready made program za kimataifa, km vile Tally ERP9, Quickbook au Pastell ambazo ukisha nunua huna tena shida na zinakubaliana na kila mfumo wa kibiashara, yaani zimekamilika kwelikweli kwa kila mahitaji ulioyataja.
Kwa ufafanuzi zaid nitafute
 
Ushauri:
Nyingi ya Inventory Management Software zinazoandaliwa na programmer wetu hapa nchini zinakuwa na mapungufu mengi
Una ushahidi wa hili? Tuna launch hivi karibuni system ambayo itakuwa na inventory. Nakualika uwe mmojawapo wa watakaoipima na kusaidia kuonyesha mapungufu unayoyasema hapa. Kama hutajali nitumie email yako ya public ili ikiwa tayari nikutumie mwaliko.

na pia nyingi zinafanyakazi online, ni mtego unaofanywa wa kutokukumilikisha kiukamilifu na hivyo unajikuta unaingia gharama ya internet pamoja na operation charges.
Hapa pia umekosea. System kuwa cloud based ni kwa sababu ya accessibility, data integrity na security. Ulishawahi kuwaza ukipata ajali ya moto au Laptop yenye software na data zote kuibiwa unafanyaje? Au ukiwa na biashara zaidi ya moja unawezaje kusimamia mahesabu na mfumo huo? Ukiwa mbali na biashara unawezaje kuona maendeleo yake?

Na mwisho ukitaka kutumia simu pia (app)unawezaje?

Ukiangalia kusimamia mfumo unaweza kudhani ni rahisi, ila umeshawahi kuwaza gharama za leseni ya mfumo, updates, new version? Zote hizi si ulikuwa unalipia? Pia maintenance inapotokea tatizo si unalipa?

Cloud based systems zinamsaidia mteja kukomaa na biashara badala ya kuhangaika na hayo yote.
Ni bora ukajipatia ready made program za kimataifa, km vile Tally ERP9, Quickbook au Pastell ambazo ukisha nunua huna tena shida na zinakubaliana na kila mfumo wa kibiashara, yaani zimekamilika kwelikweli kwa kila mahitaji ulioyataja.
Quickbooks wameshaacha kutoa desktop version wamehamia kwenye cloud. Vivyo hivyo na Tally. Kwa vigezo vyako hawafai tena.

Kukamilika kweli kweli ina maana gani? Quickbooks wana Accounting Package, Basic Payroll na Very basic Inventory. Vyote hivi ni vitu vya kawaida sana.

Ifikie wakati tuache kudharau vya kwetu. Hasa pale ambapo vina viwango sawa na vya wageni.
 
Ushauri:
Nyingi ya Inventory Management Software zinazoandaliwa na programmer wetu hapa nchini zinakuwa na mapungufu mengi na pia nyingi zinafanyakazi online, ni mtego unaofanywa wa kutokukumilikisha kiukamilifu na hivyo unajikuta unaingia gharama ya internet pamoja na operation charges.
Ni bora ukajipatia ready made program za kimataifa, km vile Tally ERP9, Quickbook au Pastell ambazo ukisha nunua huna tena shida na zinakubaliana na kila mfumo wa kibiashara, yaani zimekamilika kwelikweli kwa kila mahitaji ulioyataja.
Kwa ufafanuzi zaid nitafute

Zoho, quickbook, freshbook, na nyingine nyingi nimeshazitumia,cost nikubwa
 
Una ushahidi wa hili? Tuna launch hivi karibuni system ambayo itakuwa na inventory. Nakualika uwe mmojawapo wa watakaoipima na kusaidia kuonyesha mapungufu unayoyasema hapa. Kama hutajali nitumie email yako ya public ili ikiwa tayari nikutumie mwaliko.

Hapa pia umekosea. System kuwa cloud based ni kwa sababu ya accessibility, data integrity na security. Ulishawahi kuwaza ukipata ajali ya moto au Laptop yenye software na data zote kuibiwa unafanyaje? Au ukiwa na biashara zaidi ya moja unawezaje kusimamia mahesabu na mfumo huo? Ukiwa mbali na biashara unawezaje kuona maendeleo yake?

Na mwisho ukitaka kutumia simu pia (app)unawezaje?

Ukiangalia kusimamia mfumo unaweza kudhani ni rahisi, ila umeshawahi kuwaza gharama za leseni ya mfumo, updates, new version? Zote hizi si ulikuwa unalipia? Pia maintenance inapotokea tatizo si unalipa?

Cloud based systems zinamsaidia mteja kukomaa na biashara badala ya kuhangaika na hayo yote.

Quickbooks wameshaacha kutoa desktop version wamehamia kwenye cloud. Vivyo hivyo na Tally. Kwa vigezo vyako hawafai tena.

Kukamilika kweli kweli ina maana gani? Quickbooks wana Accounting Package, Basic Payroll na Very basic Inventory. Vyote hivi ni vitu vya kawaida sana.

Ifikie wakati tuache kudharau vya kwetu. Hasa pale ambapo vina viwango sawa na vya wageni.

Za kimataifa nimetumia nyingi tu lakni kuna smartdukapro.online nimewaelewa na ndo natumia iko poa japo mapungufu hayakosi lakin kwa ubora hule wataweka sawa. wamefanya kazi ya kupongezwa tena gharaa nafuu kuliko maelezo. Sitaki kusikia hapar za zoho, quickbook, freshbook na nini. Smartdukapro inatosha sana
 
Kwa nini unataka kutengeneza ya kwako then? Haileti maana kwangu.
 
Kuna app/site nilikua naifikiria function zake ni kama tripadvisor sijui itanigharimu kiasi gani kama kuna mweny kaujuzi kidogo, tafadhali
 
Ukipata wazo usianze kuwaza gharama. Angalia kwanza kama ni wazo lenye faida kibiashara, tengeneza execution plan ndio uanze kujua gharama. Vinginevyo utapoteza fedha na muda
 
Una ushahidi wa hili? Tuna launch hivi karibuni system ambayo itakuwa na inventory. Nakualika uwe mmojawapo wa watakaoipima na kusaidia kuonyesha mapungufu unayoyasema hapa. Kama hutajali nitumie email yako ya public ili ikiwa tayari nikutumie mwaliko.

Hapa pia umekosea. System kuwa cloud based ni kwa sababu ya accessibility, data integrity na security. Ulishawahi kuwaza ukipata ajali ya moto au Laptop yenye software na data zote kuibiwa unafanyaje? Au ukiwa na biashara zaidi ya moja unawezaje kusimamia mahesabu na mfumo huo? Ukiwa mbali na biashara unawezaje kuona maendeleo yake?

Na mwisho ukitaka kutumia simu pia (app)unawezaje?

Ukiangalia kusimamia mfumo unaweza kudhani ni rahisi, ila umeshawahi kuwaza gharama za leseni ya mfumo, updates, new version? Zote hizi si ulikuwa unalipia? Pia maintenance inapotokea tatizo si unalipa?

Cloud based systems zinamsaidia mteja kukomaa na biashara badala ya kuhangaika na hayo yote.

Quickbooks wameshaacha kutoa desktop version wamehamia kwenye cloud. Vivyo hivyo na Tally. Kwa vigezo vyako hawafai tena.

Kukamilika kweli kweli ina maana gani? Quickbooks wana Accounting Package, Basic Payroll na Very basic Inventory. Vyote hivi ni vitu vya kawaida sana.

Ifikie wakati tuache kudharau vya kwetu. Hasa pale ambapo vina viwango sawa na vya wageni.
Mhurumie unatakiwa kuelewa pia anaueongea ana uelewa kiasi gani na IT mm nimemwelewa sana
 
Gharama ya project will be generated as per WBS, human resources, time resources & your professional fee, yaani assume una activities 20 then CBS of activities 1= human resources # * time (in days) *professional fee then unatafuta CBS ya activities zote then unajumlisha total CBS
 
Kama Software development Special, scope of work ni kubwa saaaana as per your Requirements, How can someone develop such a system kwa pesa mbuzi kama hiyooo jamani we are to put some respect on software development issues.

Kaa mkao wa kutulia boss. Ugumu uko kwako
 
Una ushahidi wa hili? Tuna launch hivi karibuni system ambayo itakuwa na inventory. Nakualika uwe mmojawapo wa watakaoipima na kusaidia kuonyesha mapungufu unayoyasema hapa. Kama hutajali nitumie email yako ya public ili ikiwa tayari nikutumie mwaliko.

Hapa pia umekosea. System kuwa cloud based ni kwa sababu ya accessibility, data integrity na security. Ulishawahi kuwaza ukipata ajali ya moto au Laptop yenye software na data zote kuibiwa unafanyaje? Au ukiwa na biashara zaidi ya moja unawezaje kusimamia mahesabu na mfumo huo? Ukiwa mbali na biashara unawezaje kuona maendeleo yake?

Na mwisho ukitaka kutumia simu pia (app)unawezaje?

Ukiangalia kusimamia mfumo unaweza kudhani ni rahisi, ila umeshawahi kuwaza gharama za leseni ya mfumo, updates, new version? Zote hizi si ulikuwa unalipia? Pia maintenance inapotokea tatizo si unalipa?

Cloud based systems zinamsaidia mteja kukomaa na biashara badala ya kuhangaika na hayo yote.

Quickbooks wameshaacha kutoa desktop version wamehamia kwenye cloud. Vivyo hivyo na Tally. Kwa vigezo vyako hawafai tena.

Kukamilika kweli kweli ina maana gani? Quickbooks wana Accounting Package, Basic Payroll na Very basic Inventory. Vyote hivi ni vitu vya kawaida sana.

Ifikie wakati tuache kudharau vya kwetu. Hasa pale ambapo vina viwango sawa na vya wageni.
Umempa Jibu zuri sana.NIngependa kukagua mfumo wenu na huenda mkapata mteja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom