Pole ya nini? muhimbili hakuna dawa,makontena yadaa yamezuiwa bandarini yeye kaenda tibiwa marekani kwa mamilioni ya kodi zetu sie tunakufa haina maana.
Kwanza huu ni wizi ,kwanini unipangie namna ya kutumia pesa zangu? Je maisha ya mtanzania ni miaka 55?je wafanyakazi wanamkata na Mungu wa kuishi Miaka 55-60? Hakika nashaka na hii mifuko,mwaka 2015 lazima kieleke kama watapitisha hii sheria ya kuiba mafao ya watu.CHADEMA mpoo!!!!!!!!!!
Tangu lini nyoka akawa chura? January Makamba ni walewale hawafai hatakidogo ni porojo tu! hana jema na nchi yetu kwani si umeona babayake alivyoua chama?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.