CDM imenipa ubunge A.Mashariki-Makongoro Nyerere

CDM imenipa ubunge A.Mashariki-Makongoro Nyerere

Aaah!!! Lile kubwa jinga lizururaji la nchi za watu litajua wapi,limekalia majungu tu acha werevu waendelee kujionea wenyewe.
Chadema for life.
Jamaa alikuwa kazi yake kupiga picha na wabunge na kutuwekea humu kama mwenyekiti wake anavyo penda kupiga picha na ma-staa.............
 
Dunia ya sasa hatumhitaji mbunge aina ya makongoro. Ulevi unamharibu sana. Aliposhindwa kesi ya uchaguzi ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya upinzani, alitangaza kurudi ccm eti "kumuenzi baba wa taifa!". Licha ya kufahamu ubovu wa ccm na viongozi wake, aliona ni muhimu kurudi huko in the name of baba wa taifa na kuziacha harakati za ukombozi zikididimizwa na ccm! Alivuruga kabisa mwelekeo wa upinzani Arusha hadi alipokuja Lema. Tulimchagua kwakuwa tulitaka mabadiliko licha ya kutokuwa na sifa makini. Na kwa kutokuwa kwake makini akatugeuka! He is a dangerous person asiyekuwa na msimamo kwenye mambo anayoyaamini! Kifupi ni kwamba tumepoteza nafasi kwa kumchagua yeye!
Siasa za Arusha asingwziweza kwa wakati ule na hata kwa sasa pia.ukweli unabaki kuwa siasa za Arusha mbali na uanamageuzi ulioshika kasi kwa sasa lakini pia kamfumo ukabila bado kapo saana na kwa makongoro ingemuwia vigumu sana.
Lema anakuwa suported zaidi pia mbali ya kukubalika lakini pia indigeniolism ipo somehow!,huwezi sema makongoro ni mtu hatari sana,je hatari kwa usalama wa nani? Wako binafsi au?
 
Dunia ya sasa hatumhitaji mbunge aina ya makongoro. Ulevi unamharibu sana. Aliposhindwa kesi ya uchaguzi ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya upinzani, alitangaza kurudi ccm eti "kumuenzi baba wa taifa!". Licha ya kufahamu ubovu wa ccm na viongozi wake, aliona ni muhimu kurudi huko in the name of baba wa taifa na kuziacha harakati za ukombozi zikididimizwa na ccm! Alivuruga kabisa mwelekeo wa upinzani Arusha hadi alipokuja Lema. Tulimchagua kwakuwa tulitaka mabadiliko licha ya kutokuwa na sifa makini. Na kwa kutokuwa kwake makini akatugeuka! He is a dangerous person asiyekuwa na msimamo kwenye mambo anayoyaamini! Kifupi ni kwamba tumepoteza nafasi kwa kumchagua yeye!

Laiti ungejua umuhimu wa watu wa aina ya Makongoro kwa CDM wakiwa ndani ya CCM usinge comment hivi. Ni nani atakupa the inside of CCM kama huna watu wa aina hii huko? unadhani kina Dr. Slaa wanapolipua mabomu kwa kujiamini wanayapata wapi?

Binafsi, I like Makongoro, he is not a thief kama watoto wengine wa Marais, ni mzalendo wa kweli. anafuata njia ya baba yake ukiondoa ulevi wake.
 
Mbunge mteule wa A.Mashariki Makongoro Nyerere amesema kura za wabunge wa CDM ndizo zilimfanya kushinda ubunge huo.Makongoro amesema wagombea wenzake kupitia CCM walitishia ushindi wake kutokana na jinsi walivyokuwa wanatembeza rushwa.
Makongoro amesema alikuwa hana hata nauli ya kwenda Dodoma lakini alimtegemea Mungu.Amesema CDM walipotaka kususia uchaguzi ule aliamini mwisho wake ulikuwa umefika kwani kura zote za wabunge wa CDM zilikwenda kwake.Amesema ni ngumu sana kugombea nafasi yoyote kupitia CCM kama huna hela za kugawa.Makongoro ameendelea kusema kwamba chuki ya rushwa waliyo nayo wabunge wa CDM ndiyo iliyomuokoa kwani anaamini ni vigumu wabunge wa CDM kuchagua mtoa rushwa.Amemalizia kwa kusema shukrani yake kwa CDM ni kwa yeye kuwatumikia wananchi wote bila ubaguzi wowote.

SOURCE:TANZANIA DAIMA
Ni PCCB pekee ndio hawajui hii maneno ya kwenye RED!
 
mmoja kati ya watu wachache katika nchi hii watakaokuwa chama wowote lakini still watapata kura yangu kama nitahitajika
 
Mbunge mteule wa A.Mashariki Makongoro Nyerere amesema kura za wabunge wa CDM ndizo zilimfanya kushinda ubunge huo.Makongoro amesema wagombea wenzake kupitia CCM walitishia ushindi wake kutokana na jinsi walivyokuwa wanatembeza rushwa.
Makongoro amesema alikuwa hana hata nauli ya kwenda Dodoma lakini alimtegemea Mungu.Amesema CDM walipotaka kususia uchaguzi ule aliamini mwisho wake ulikuwa umefika kwani kura zote za wabunge wa CDM zilikwenda kwake.Amesema ni ngumu sana kugombea nafasi yoyote kupitia CCM kama huna hela za kugawa.Makongoro ameendelea kusema kwamba chuki ya rushwa waliyo nayo wabunge wa CDM ndiyo iliyomuokoa kwani anaamini ni vigumu wabunge wa CDM kuchagua mtoa rushwa.Amemalizia kwa kusema shukrani yake kwa CDM ni kwa yeye kuwatumikia wananchi wote bila ubaguzi wowote.

SOURCE:TANZANIA DAIMA

Sasa naamini Le Mutuz aliliwa vihela vyake alafu makamanda wakamtosa kwenye sanduku la kura na kuamua kuchagua jembe hili
 
Mbunge mteule wa A.Mashariki Makongoro Nyerere amesema kura za wabunge wa CDM ndizo zilimfanya kushinda ubunge huo.Makongoro amesema wagombea wenzake kupitia CCM walitishia ushindi wake kutokana na jinsi walivyokuwa wanatembeza rushwa.
Makongoro amesema alikuwa hana hata nauli ya kwenda Dodoma lakini alimtegemea Mungu.Amesema CDM walipotaka kususia uchaguzi ule aliamini mwisho wake ulikuwa umefika kwani kura zote za wabunge wa CDM zilikwenda kwake.Amesema ni ngumu sana kugombea nafasi yoyote kupitia CCM kama huna hela za kugawa.Makongoro ameendelea kusema kwamba chuki ya rushwa waliyo nayo wabunge wa CDM ndiyo iliyomuokoa kwani anaamini ni vigumu wabunge wa CDM kuchagua mtoa rushwa.Amemalizia kwa kusema shukrani yake kwa CDM ni kwa yeye kuwatumikia wananchi wote bila ubaguzi wowote.

SOURCE:TANZANIA DAIMA

Ashukuriwe baba wa taifa na mama maria kwa kulea aina hii ya watoto ambao kutokana na uadilifu wao wamejikuta wakitupwa benchi na magamba naamini wengi wa viongozi wao wakisukumwa zaidi na hofu ya kuumbuliwa na clean people Kama Makongoro.
nilipenda sana statement yake akiomba kura pale bungeni juzi alipozungumzia kuhusu ardhi na namna atakavyoitetea kwa ajili ya watanzania. Alinikumbusha mwalimu kwa pozi zake na kicheko pia.
anastahili kuwa hapo alipo sasa.
 
Huyu jamaa nimsemkubali na hababaishwi na chama chake so kipitup au kama vipi tunakukaribisha CDM
 
Makongoro aliwasaidia sana CHADEMA kulipata jimbo la Musoma Mjini. Makongoro mwenyewe kwa asili ni mpinzani pia. Nazikumbuka sana kauli zake enzi zile za NCCR ya Mrema.
 
Kama angekuwa mtu aliyetulia siku 1 angeingia pale alipokulia! Lakini sasa ndo hivyo tena maji kwa wingi. Sijui kwa nini inakuwa ngumu kutazamia kwa wengine akina BUSH JR, IAN KAMA N.K!
 
I always like this man, except for one thing that he used to use too much. But he is good. Look at his remarks.
Huyu jamaa ni kigeugeu.Uchaguzi wa 2010 alikanusha kwa nguvu zote maneno ambayo yalikuwa yametolewa na familia yake ya kuisupport Chadema kwa ajili ya kusaidia CCM.Sasa ameona CCM inadidimia anatafuta sehemu ya kujishika.
 
Haya huu ni upande wa pili kinyume na ze Baharia alivyotufahamisha.

Kama alitoa mlungula kwa wabunge wa upinzani, specifically CDM, basi ni sababu tosha kwa nini hawakumpa kura.

Otherwise kila la heri Makongoro

William alisema vaguely "wapinzani"....hapo kuna Mrema, Cheyo & CUF so tuhuma zile ni too general. Ila Tz kwa leo dhana ya upinzani unazungumzia kambi rasmi i.e. CHADEMA only.

Huo ufinyu wa yeye kutojua mazingira na mahitaji halisi nadhani vilimzamisha baharia! Maana mshiko na washkaji alikuwa anao ila kwa nini alifeli?
 
Ni kweli chadema ukija hela jua unanunua dharau na sio heshima.BIG UP chadema mungu awatangulie kwa hekima zenu kupitia Jembe Makongoro
 
Pamoja na upungufu au kasoro za Makongoro, still he's better lot than most ccm MPs in the House. Lakini pia tunatumai atafika mahali atapambanua mambo kwa usahihi na kung'oka ccm.

Kama tujuavyo yeye kuwa ccm imeoza na inakufa rasmi lakini ni nani wa kumshawishi Makongoro kama sio Makongoro mwenyewe juu ya ukweli huo?

Na kama haitoshi Makongoro anajua vema kuwa CHADEMA inasimamia na kutekeleza mambo ambayo baba yake mwenyewe would have been greatly proud of. Hivyo ni suala la muda tu ajiridhishe 100% kisha avue gamba.
 
Mimi nawakubali sana watu wanaosema ukweli daima... na kuusimamia.
 
Back
Top Bottom