Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

Hoja ya Serikali za Majimbo ni hoja nzito ambayo iliwatesa sana CCM kwenye ule uchaguzi mkuu wa 2005. Walipoona hawana counter arguments dhidi ya hoja hiyo wakaingiza hoja ya kuwa itasababisha ukabila nchini. Leo baada ya miaka saba, Mbowe anawarejesha kwenye hoja hiyo hiyo ili kudhibiti Ufisadi under Centralized Government. Tuendelee kuwabana!

CCM wapuuzi. Wakawaulize Marekani, wana_ubaguzi?? mbona wanatumia serikali ya Majimbo. (Na mwenyekiti wao, kila siku yuko Marekani anaenda kushangaa maghorofaa) kwanini tusiweka states gvt tuwe na uongozi mzuri, ili wabakie hapahapa wasiende tena Marekani kushangaa treni za umeme na maghorofa.

China, Canada, india je??? Hawa wote wanatumia serikali za majimbo.

Mimi nachojua TZ kuna udini. Na huo umesababishwa na JK, kampeni zake za mwaka 2010. Wakitaka kupandika ukabila pia, watakuwa wehu wakubwa.
 
Sitashangaa ukisikia CAG awajibishwa au Adondoka gafla na kukimbizwa hospital. hawa jamaa wa ajabu sana, badala ya kuta-attack Ufisadi ulioibuliwa utashangaa wamem-attack aliyeibua. Let wait and see.
 
Mbunge kutoka Tanga anaponda ati aliunga Bajeti ya Nishati na Madini mkono kwa asilimia 100 leo hata waziri akimpigia simu hapokei.


SO FAR:

PM bado hajawasili
 
Hahahah, Stephen Ngonyani anajidai kuwa na machungu hadi anataka kulia, kisa, umeme hakuna jimbon kwake, wabunge wengne wanamwambia liaa.
 
Nimemsikia na kumuona
'live' Sp (of cause kwenye Tv) akitamka kutoka mdomoni mwake kwa Mbowe kuwa, "JAMBAZI Lako" aki-refer Mh J Mnyika! pamoja na kuwa 'aliipotezea' lkn kwa hakika kimtokacho mtu ndicho alichonacho moyoni/nafsini/rohoni/utu wa ndani etc(you name it; soma Gal5:19) najua hawataiingiza kwenye 'hansaard' lkn masikioni mwetu na machoni imeingia! Ushauri Tundu Lisu/Mnyika/Nasari makamanda wetu omba muongozo ili hata kama ataipotezea lkn utu wake wa ndani utatolewa nje hadharani(kumb29:29) Mungu katufunulia kuliko kumezea kwani ndiyo njia pekee kwa sasa itayowapa watu uhalisia wa hawa watu

Acheni kukuza mambo.....nchi hii hivi sasa kuna mengi na ya msingi ya kujadili kuliko mambo kama haya....kwa akina siye tunaekutana na maneno kama haya wala hatuwezi kutafsiri vibaya kama ambavyo mnataka kulazimisha na ndio maana sio Mnyika wala Mbowe ambae aliitilia maanani kauli hiyo!! Binafsi hiyo tafsiri yake ni sawa na kusema "jembe lako"
 
Mbunge huyo huyo anahoji inakuwaje wakifariki watu wengine zinaundwa Tume na wakifariki Polisi wakati hata wanakabiliana na wahalifu Tume haziundwi na wao ni binadamu tuweke usawa hapo.

SIJUI IKOJE HII?

Anaunga Mkono taarifa za kamati
 
Mbunge kutoka Tanga anaponda ati aliunga Bajeti ya Nishati na Madini mkono kwa asilimia 100 leo hata waziri akimpigia simu hapokei.


SO FAR:

PM bado hajawasili
Haki ya Mungu hawa ndo wabunge mapoyoyo, kwa hiyo yeye aliunga mkono bajeti ili apate favour? Yaani hii nchi burudani kila mahali. Unaweza kutamani ulie au ucheke. Yaani huelewi ufanye nini ili kuwasilisha hisia zako.
 
Mbunge kutoka Tanga anaponda ati aliunga Bajeti ya Nishati na Madini mkono kwa asilimia 100 leo hata waziri akimpigia simu hapokei.


SO FAR:

PM bado hajawasili

si ulisema yupo kwenye kikao kikali,mi nili kinafanyika kwenye ofisi mojawapo za bunge kumbe hata bungeni hayupo?au kaja dar kuongea na jk?maskini baba wa watu anahaha.
 
Mbunge kutoka Tanga anaponda ati aliunga Bajeti ya Nishati na Madini mkono kwa asilimia 100 leo hata waziri akimpigia simu hapokei.


SO FAR:

PM bado hajawasili
Ni wabunge kama huyu ambao wanatupeleka kubaya. Ina maana yeye aliunga mkono budget kama ushikaji bila kuzingatia ubora wa budget na sasa anampigia simu waziri kama mshikaji!
 
Mbunge wa tanga anashushuliwa kwa kuongea uongo kuwa kilimanjaro hakuna sehem ambayo haiwaki umeme.
 
mawazir wanaenda nje hakuna lolote wanalotuletea zaid ya kuja na perfyum za mama watoto zao,mawazr wamekuwa vasco dagama
 

Similar Discussions

26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom