Recent content by tpmazembe

  1. T

    Tabia ya mke kumkimbia mume inasababishwa na nini?

    lakini vitabu vinasema samehe sABA mara sabini akirudi ana nafasi ya kusamehewa na kuendelea kulea.ila atakuwa keshakutesa na upweke
  2. T

    Natafuta mchumba tukielewana awe mke baadae

    Natafuta mchumba mstaarabu na anayaejielewa ambaye baadae baaada ya kufahamiana na kujuana tabia na misimamo tukiridhiana tuoane. Vigezo ni tabia njema, sichagui umri wala kabila wala dini, mimi niko miaka ya 30 naenda 40, hivyo kwanzia miaka 20 mpaka 40 haina tatizo. Anayehitaji ani pm au...
  3. T

    Pregnant woman looking for a daddy/husband

    njoo kwangu.nitumie private message tuwe pamoja
  4. T

    Tabia ya mke kumkimbia mume inasababishwa na nini?

    mjini inakuwa kinyume , mke anakimbia badala ya kuanza kuishi maisha ya kujibana anakimbia maana jiji la watu wengi tofauti anatafuta wenye nazo aendelee kujipodoa
  5. T

    Tabia ya mke kumkimbia mume inasababishwa na nini?

    Miaka hii miwili kwa mji wa Dar inaonekana wanawake wameongeza tabia ya kukimbia waume zao. Wengi wao hukimbia pale mume anapoachishwa kazi au biashara kufilisika kutokana na hali ya uchumi ya kipindi hiki kwa serikali zetu, Na mara nyingi kukimbia kumekuwa sio kwa wema kwamba mke hata...
  6. T

    Zitto Kabwe kupeleka Bungeni hoja binafsi ya kutokuwa na Imani na Rais Magufuli

    wanaweza kupeleka hoja bungeni, lakini hawawezi kuipitisha.kuipitisha inahitaji kura 75% za ndio. na wenyewe hawafiki hata 30% ya wabunge wote. yaani za wana ccm zinafikka 75%.ni mchezo wa kuigiza
  7. T

    Uhakiki wa vyeti wanikosesha kazi na wasababisha mke wangu kuniacha

    kukimbiwa na mwanamke ni jambo la kawaida usichanganyikiwe.tafuta pesa ukishakuwa na mzunguko wa hela owa mwingine na uwe makini na wanawake ,waamini lakini usipitilize
  8. T

    Uhakiki wa vyeti wanikosesha kazi na wasababisha mke wangu kuniacha

    Ni wengi wamekutana na hali kama yake, na mwaka jana seriakali yenyewe haijaajiri wako waalimu na madaktari awamu tatu hawajapangiwa kazi na ni fani nyeti achilia mbali sheria ambayo sio sensitive kwenye huduma za jamii kama madaktari na waalimu. kilio chake ni kukimbiwa na mke. swala ambalo...
  9. T

    Uhakiki wa vyeti wanikosesha kazi na wasababisha mke wangu kuniacha

    huyu stori yake ni ya kweli, alipata mtoto kabla ya kuanza chua akibangaiza na mke kumuelewa alipoanza kupata mkopo chuo akaishi na mkewe miaka minne ya chuo wakapata watoto wawili na kuwa watatu mke akijibana walau wanayo ela ya kula elfu 7 kwa siku na ndugu wanakujua bado mwanafunzi...
  10. T

    Swali la Ugomvi: Tanzania Kuna Baa la Njaa? Upungufu Mkubwa Chakula au Hofu ya Ujio wa Njaa?

    MziziMkavu inawezekana kunipa dawa ya kukabiliana na wachawi wa rufiji nikalima na kupata mazao?
  11. T

    Kumwambia mchepuko wako kama una mke/mume

    mchepuko unatakiwa kuabiwa ukweli.mke unamficha.hapo ndio burudani ya kuchepuka utaiona. maana hata mke akikukagua na kumpigia mchepuko,mchepuko unampooza kuwa na rafiki wa kawaida wa kazini au kibiashara.hapo inakuwa burudani
  12. T

    Anataka niweke status: 'Nakupenda mume wangu' kwenye WhatsApp, kuna maana yoyote ktk hili?

    mwambie akuweke wewe kwenye status picha.alafu status aseme jamani ndugu na marafiki huyo ndiye mke wangu wa pili.akifanya hivyo na wewe mtii
  13. T

    Usia kwa watoto kike kutoka kule kwetu kanda ya Mashariki.

    mkoa wa tanga uko kanda ya kaskazini ambapo ni klm arsha na ta
  14. T

    Usia kwa watoto kike kutoka kule kwetu kanda ya Mashariki.

    mkoa wa tanga uko kanda ya kaskazini ambapo ni klm arsha na ta
Back
Top Bottom