Pregnant woman looking for a daddy/husband

Status
Not open for further replies.
Wataushia kukugegeda tu na mimba yako ndugu kwa ahadi kede kede then watapotea..dont make panic decisions.
 
Hahahaa
On my own behalf let me ask one thing
Where is the man responsible for that pregnancy?
Msiniite mchochezi ni kingereza copy and paste from sizonje
 
"But there's a third option, if there is a man out there who for one reason or the other cannot have kids or would consider adopting my child and take me in as a wife just so my child will not grow up without a father please pm me."

-What is the position of the"daddy".. sponsor... father figure... caretaker... donor....???
 
vijana wenzangu embu acheni kupenda mtelemko, sis amejichanganya mwenyewe so mwacheni ajilipue...aisee mademu wote walio kitaa ambao bado wabichi we ukalee bao la mwenzio huku ukijua ... huu ni uchizi wa kiwango cha reli
 
You know, you have drawn my intention, a humble lady you seem; where do you hail from by the way?
 
Dear all,

I'm overwhelmed by th comments and advice, Mungu awabariki sana(my sins do not change who is). Natamani ningejibu comment moja baada ya nyingine lakini sitaweza, naomba nifanye kuzijibu zote/baadhi hapa kama hamtojali.

About the responsible man:
Ana taarifa za mimi kuwa na ujauzito wake ila kwa bahati mbaya/nzuri sijasikia kitu chochote kutoka kwake, it has been quiet for 3 days that's why am exploring before it's too late. Kuna vitu vingi vinaendelea behind the scene ambavyo siwezi kuandika hapa otherwise itakuwa kama nmeleta story. But kwa yeyote ambaye anaconsider, i will give every detail of my life(i live by being open and truthful) na kama utataka kujua/kumjua responsible person sio tatizo kwangu.
UTAKUBALI KUWA MKE WA PILI?
 
Hello everyone
Just thought i should try, i might get lucky.

I am 27 yrs old n 2 weeks pregnant, unfortunately i have to choose between being a single mother and abortion (God forbid).

But there's a third option, if there is a man out there who for one reason or the other cannot have kids or would consider adopting my child and take me in as a wife just so my child will not grow up without a father please pm me.

Sounds awkward but it's worth a try
aweke mwingine baba niitwe mie! never, that i think you are dreaming right now!
 
mi nipo tayari ila sina kazi wala kibarua na sina mpango wa kutafuta... ni mweusi siiiiii... mfupi piiiiiiiiiiii.... na nina kitambi mteremko mpaka nashindwa kufunga kamba za viatu.. je upo tayari..!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom