Kwasababu amekataa kukulea?Mwanamke wa sasa hivi siyo MTU
Wewe umeona matiti tu? Dumu zigo wee! Ulizoea kulishwa na mwanamke imekula kwako utakoma ubitoz tu. Huku ajiriwa wala nini ni uzushi ndyo maana hata kijijini kwenu wamekushtukia
Akili ndogo ipo kwenye titiKwasababu amekataa kukulea?
Amefaulu kupata reply nyingi kama alivyotaka maana kama ni ajira kweli huyu hawezi kupata kwa akili aliyo nayo.. Ni zaidi ya kiazisawa mkuu
ha hah aha kabisa bora wali muondoa mapemaAmefaulu kupata reply nyingi kama alivyotaka maana kama ni ajira kweli huyu hawezi kupata kwa akili aliyo nayo.. Ni zaidi ya kiazi
huyu stori yake ni ya kweli, alipata mtoto kabla ya kuanza chua akibangaiza na mke kumuelewa alipoanza kupata mkopo chuo akaishi na mkewe miaka minne ya chuo wakapata watoto wawili na kuwa watatu mke akijibana walau wanayo ela ya kula elfu 7 kwa siku na ndugu wanakujua bado mwanafunzi hawakusumbui.samahani mkuu hii story ni ya kutunga au umeamua kuongeza chuumvi ukaharibu..... okey mwanaume halii huwa anatafuta kwa udi na uvumba familia lazima isimame
Wewe unafikri ningefanyaje ? Wewe ndoo jinga unadandia gari mbele nimekuitaYaani wewe ni mpumb..avu sana. Ile kuitwa kazini tu ukanyanyua familia mpaka vijiko??!
at list umemsaidia kueleweka japo yeye anatoa majibu ya shombohuyu stori yake ni ya kweli, alipata mtoto kabla ya kuanza chua akibangaiza na mke kumuelewa alipoanza kupata mkopo chuo akaishi na mkewe miaka minne ya chuo wakapata watoto wawili na kuwa watatu mke akijibana walau wanayo ela ya kula elfu 7 kwa siku na ndugu wanakujua bado mwanafunzi hawakusumbui.
shuguli ikaanza baada ya kumaliza chuo,miezi kadhaa bila ajira hapo amejulikana sio mwanafunzi tena kwenye jamii ndugu zake na wakwe wanajua hivyo,ajira aliyoipata nayo ikawa kama kumvuruga kichwa sasa hana hata mtu wa kumpiga mzika kama alivyokuwa mwanafunzi anaweza hata waambia home wakauza hata kuku,sasa atawaambia nini na mpaka lini?
anachotakiwa kujua hali yake ni wengi wanapitia hasa serikali hii upungufu wa ajira umeongezeza na sekta binafsi imepunguza sana wafanyakazi.
awe na matumaini na asiangalie elimu sana afanye chochote cha kuingiza mkono kinywani hata kazi ya kupiga viatu rangi stendi huku akiendelea kubahatisha ajira sekta binafsi na serikali.
Na hilo la mke kukimbia ni kawaida sana wanawake wamekuwa wadhaifu sana na wengi hujiopeleka kwa wanachuo kwa lengu la maisha mazuri hivyo LISIMCHANGANYE. huyo mkewe atambue alikuwa na malengo binafsi ya maisha ya juu ambayo kaona hayapo hivyo atafute mke mwingine
Acha kujitongozeshaat list umemsaidia kueleweka japo yeye anatoa majibu ya shombo
Hahahahah ukome kulialia utaolewa wewe... Ulishindwa kummudu mkeo vizuri kama mahitaji muhimu na hata kumfikisha mkeo pale juu.. Ndo maana kaenda kwa wanaume na sio kwenu nyinyi vivulana kazi kulalamika tu hata kumridhisha mkeo unalaumu serikali boya weweAcha kujipendekeza kwa madem wew
Ajitongozeshe kwako apati nini sasa? Wewe mwenyewe unatafuta mwanaume wa kukutongozaAcha kujitongozesha
Jitu kubwa akili kitiniAjitongozeshe kwako apati nini sasa? Wewe mwenyewe unatafuta mwanaume wa kukutongoza
ha ha ha...tù sì un insinsatuAcha kujitongozesha
Wanaume wa darHahahahah ukome kulialia utaolewa wewe... Ulishindwa kummudu mkeo vizuri kama mahitaji muhimu na hata kumfikisha mkeo pale juu.. Ndo maana kaenda kwa wanaume na sio kwenu nyinyi vivulana kazi kulalamika tu hata kumridhisha mkeo unalaumu serikali boya wewe
Ni wengi wamekutana na hali kama yake, na mwaka jana seriakali yenyewe haijaajiri wako waalimu na madaktari awamu tatu hawajapangiwa kazi na ni fani nyeti achilia mbali sheria ambayo sio sensitive kwenye huduma za jamii kama madaktari na waalimu.at list umemsaidia kueleweka japo yeye anatoa majibu ya shombo
Umeokata kipande cha gazeti kudanganya watu?
Haya majina aliniita baba yako kazini jitu kubwa akili kijiko Malaya wa buguruni