Recent content by toto zuli

  1. toto zuli

    Msaada: Sina amani wala furaha tena kuhusu kazi ninayoifanya hivi sasa

    Nahitaji mawazo yenu, hapa nilipo nimekuwa mtu wa wasiwasi, sina amani kwa kazi ninayofanya ambayo. 1. Ukikosea kidogo unaitia kampuni hasara kubwa, hivyo inahitaji umakini sana. 2. Uzembe wowote utakaotokea ukiwa kazini basi itapelekea wewe kukaa polisi au kufugwa. 3. Hapa nilipo nina kesi...
  2. toto zuli

    Nafanya kazi za usafi popote niite nitakuja

    Nafanya kazi za usafi wa aina zote Kufua na kufagia nyumba nicheki Kwa namba 0783942706 napatikana mbande mbagala popote ulipoo ukiniita nakuja
  3. toto zuli

    Unawezaje kusolve changamoto ya familia yako kumkataa mchumba wako

    Unaweza kuchunguza ukaambiwa tatizo familia yako hamtaki mchumba wako kisa kabila lake tuu
  4. toto zuli

    Unawezaje kusolve changamoto ya familia yako kumkataa mchumba wako

    Ukiona familia yako inakupinga swala la kuoa au kuolewa tambua ya kwamba wewe wanakuona ni mburululaa
  5. toto zuli

    Nataka kuanza maisha ya kujitegemea ila nyumbani wazazi wananibania nifanyeje

    Dream yangu ni kuwa na maisha yangu niwe na familia yangu na kuhusu kuchakarika nachakarika sana na kuhusu mtaji WA biashara nilishazungumza na wazazi mzee wangu alishawahi kuni promise atanipa tangu nina miaka 27 kila nikimuulizia ananiambia subili subili nisiwe na haraka atanipatia tangu 2015...
  6. toto zuli

    Nataka kuanza maisha ya kujitegemea ila nyumbani wazazi wananibania nifanyeje

    Kiumri nina miaka 31 naelekea 32 kiukweli hapa nilipofikia nataka nianze maisha ya kujitegemea angalau na mimi niwe kwangu kwani umri umekwenda sana nataka nijenge maisha yangu ila sasa changamoto nilionayo ni wazazi Wamekuwa wagumu kuniruhusu nikapange na nikiwauliza wanadai Bado uwezo WA...
  7. toto zuli

    Utajuaje mwanamke wako amekuacha siku nyingi lakini we unaona mko pamoja

    Ukiona mtoto wa kike yupo bizee sana na kazi au kazi siku hizi ukiona anakwambia zimembana sana hesabu sio wako tena
  8. toto zuli

    Natamani kufanya kazi ya ualimu. Ni vitu gani muhimu vya kuzingatia kama mwalimu?

    Kutokana hali ya maisha inavyokwenda nimejikuta nataka kufanya kazi ya ualimu nifundishe Angalau tuition au wanafunzi wa shule ila ningependa kufahamu mambo muhimu ya kuzingatia kama mwalimu Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  9. toto zuli

    Ulianzaje maisha ya kujitegemea ukiwa huna shughuli maalumu ya kuingizia kipato?

    Mie upande wangu baada ya kumaliza chuo nikiwa sina ajira baada ya kukaa nyumbani zaidi ya miaka mitatu ramani Hazisomi nilichokifanya Nilimwambia home nataka kusoma tena kuna kozi kama tatu nataka kujifunza kipindi nasoma hela ya chuo niliokuwa napewa kila hela ya chuo nilikuwa nasevu elfu 3...
  10. toto zuli

    Msaada: Utajuaje kama mtu upo katika mahusiano sahihi au sio sahihi pale unapokuwa mchumba au mpenzi?

    Hivi mtu utajuaje kama hapa nilipo nipo katika mahusiano sahihi au sio sahihi hapa nilipo ili mtu ujitambue mapema? Hebu tusadieni katika hili
  11. toto zuli

    Ukiona wazazi au ndugu zako hawakusapoti au kukutia moyo katika harakati zako za kutafuta maisha, anza kujitakari

    Ukiona hizo dalili anza kujiengua ndani ya familia ufanye maisha yako kimya kimya hii dunia ina Siri kubwa sana. Inawezekana wazazi wako wamekugeuza wewe Msukule hivyo unavyoonekana mjinga mjinga hauwezi kitu ktk maisha na ndio wao wanazidi kupata mpunga.
  12. toto zuli

    Mliowahi kuwapa mabinti mimba mkiwa bado kimaisha hamjajipanga mliwezaje kuvuka hatua hii

    Mimi nina kaka yangu kipindi hana kazi alimpaga mimba binti mmoja hivi Aliletwa nyumbani akahudumiwa mpaka anajifungua, mzee Aliwapa chumba cha njee wakae bure huku wanajipanga baada ya kupata kibarua broo walihama nyumbani wakaenda kujitegemea hivyo kama home wanakuelewa waambie wakuandalie...
  13. toto zuli

    Mpenzi wangu analalamika umri umeenda anahitaji tufunge ndoa tutengeneze familia ila mie kimaisha bado sijasimama

    Pole sana mboka man hilo tatizo huwa linawakuta watu wengi sana mtoto wa kike umri wake unapokuwa unaenda alafu hana mtoto, hana ndoa huwa anaanza kuchanganyikiwa na hapo kila akiangalia wenzake wameolewa yeye bado na mwanaume hauleweki , Lakini pia upande wa familia na marafiki unakuta tiyali...
  14. toto zuli

    Ni kitu Gani huwa kinamfanya mtu aliyekuacha akurudie na penzi lenu lianze upya

    Sababu zipo nyingi sana ila sababu kuu mtu amrudie mpenzi wake wa zamani ni tatu 1.sababu ya kwanza amekosa options katika maisha ya mahusiano yaani akiangalia katika wote aliodate nao anaona angalau wewe kidogo una afadhali una mwelekeo 2.sababu ya pili ni kuvunjika kwa penzi jipya yaani...
Back
Top Bottom