Natamani kufanya kazi ya ualimu. Ni vitu gani muhimu vya kuzingatia kama mwalimu?

toto zuli

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
265
278
Kutokana hali ya maisha inavyokwenda nimejikuta nataka kufanya kazi ya ualimu nifundishe

Angalau tuition au wanafunzi wa shule ila ningependa kufahamu mambo muhimu ya kuzingatia kama mwalimu

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Sio vibaya ungesema unataaluma gani? na unatamani kufundisha masomo yapi? Ili watu watoe ushauri uliotimia.
 
Ualimu saivi ni wito maana hauna maslai kabisaaa!

Mkuu bora upambane uwe mfanyabiashara kidogo unaweza okota okota kwa siku sio ualimu huko utapotea
 
Ukuje unifundishe tuituon nyumbani. Mimi ako naishi Kenya. Ukinipea tuition mzuri, vile nitakulipa hela nyingi.
 
Back
Top Bottom