Mpenzi wangu analalamika umri umeenda anahitaji tufunge ndoa tutengeneze familia ila mie kimaisha bado sijasimama

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Wakuu naombeni ushauri, mpenzi ananilalamikia umri wake umeenda sana mpaka sasa hana mtoto hana familia hajaolewa hivyo anahitaji tutengeneze familia na pia nijiandae swala la ndoa

Nikijiangalia kimaisha bado sijasimama vizuri kuendesha familia, kutoa mahari kwao na mambo mengine kuyaweka sawa ,,,,

Hela zangu mie mwenyewe ni za kubahatisha sina kipato maalumu

Naombeni ushauri wandugu hili jambo likae sawa
 
Sometimes majukumu yanakufanya uongeze jitihada ili uweze kuyamudu. Oa na changamoto za ndoa kama uzazi, makazi n.k vitakuondoa kwenye comfort zone na ukaongeza bidii ya kufanya kazi. Muoe haraka huyo binti nahisi ana karibia kukata tamaa na wewe
 
Pole sana mboka man hilo tatizo huwa linawakuta watu wengi sana mtoto wa kike umri wake unapokuwa unaenda alafu hana mtoto, hana ndoa huwa anaanza kuchanganyikiwa na hapo kila akiangalia wenzake wameolewa yeye bado na mwanaume hauleweki ,

Lakini pia upande wa familia na marafiki unakuta tiyali wameshaanza kumpressurelize issue ya ndoa na huyo mwenzio vipi maana ukute kuna vijana wameshajitokeza wanataka kuoa ila mwanamke amekataa vishawishi vimekuwa vingi

Ushauli wangu kwako mapenzi ni nyinyi wawili tuu kaeni chini mzungumze malengo yenu kamwe msikubali watu kuwaingilia
 
Wakuu naombeni ushauli mpenzi ananilalamikia umri wake umeenda sana mpaka sasa hana mtoto hana familia hajaolewa hivyo anahitaji tutengeneze familia na pia nijiandae swala la ndoa

Nikijiangalia kimaisha bado sijasimama vizuli kuendesha familia,kutoa mahali kwao na mambo mengine kuyaweka sawa ,,,,

Hela zangu mie mwenyewe ni za kubahatisha sina kipato maalumu

Naombeni ushauli wandugu hili jambo likae sawa
Wewe unampenda ?
 
Oa bruh kila kitu huja na Baraka zake
 
Acha woga kuna bodaboda wana wake zao na wanaishi poa

Mtasimama pamoja hukohuko. nenda kapambane ukiwa nae ndio utamuheshimu, kuliko akikuta ushachuma mali zako maana utamdharau na kumuona “gold digger”
 
Back
Top Bottom