Utajuaje mwanamke wako amekuacha siku nyingi lakini we unaona mko pamoja

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,681
2,000
Je inawezekana mwanamke wako akawa ameshakupiga chini muda mrefu lakini we unaona mko pamoja yaani kila ukimuangalia mwanamke wako usoni mnaongea vizuri, mnacheka vizuri na kusex pia mna sex vizuri lakini watalaamu wa manbo wanakwambia huyu mwanamke kutokana na tabia hizi na hizi huyo ameshakuacha muda mrefu.

Maamuzi ya kukuacha wewe tayali ameshayafanya ila kinachobakia kwake anakuwa mpenzi mtizamaji tuu hebu leo tushitikishane dalili za mwanamke ambae amekuacha muda mrefu lakini bado anaendelea kuwa na wewe bila kujua wewe amekuacha.

1621079898038.png

 

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,597
2,000
Anaomba omba hela Ukimwangalia uson anaona aibu anaangalia pemben
Anataka umpe vitu vikubwa vikubwa ili liwe panga la mwisho akupige chin jumla jumla
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom