Recent content by torondo

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliacha kwenda kanisani miaka 5 baada ya Nabii kumpa mdogo wangu mimba

    Kama ni kweli njaaa ni mbaya sana
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wa milioni 7 kwa dakika, Mohamed Mustafa na Samweli Lema kupanda kizimbani

    Kama kuna ukweli kwenye tuhuma hizi basi sheria ichukue mkondo wake ila kama kuna hujuma na kisasi nyuma ya hili MUNGU na aonekane kuwa ni muweza wa yote
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

    Hata kujenga nyumba nayo ni biashara unaweza kujenga nyumba baadae ukaiuza kwa faida kubwa zaidi au ukaipangisha ukaendelea kuishi kwenye nyumba ya shirika. Mifano tuliipata ss wa zamani kidogo kipindi hicho tuliwaona wanajeshi,polisi na wale wazee waliokuwa wanaishi nyumba za mashirika baada ya...
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kizaazaa: Bwana harusi apokea zawadi ya picha za mkewe akishiriki tendo kinyume na maumbile

    Napata shida sana na yale maneno kuwa NTAKUWA NAE KWENYE SHIDA NA RAHAA MPAKA KIFO KITAKAPOTUTENGANISHA Hilo lilikuwa ni tatizo dogo tu la kukaa chini na mke wake amweleze madhara ya hiyo njia maisha yaendelee tena mm naamini mtu unaeyejua udhaifu wake ni ngumu yy kufanya tofauti na ww. Fikiria...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye kumfahamu Mtanzania huyu mkazi wa Magomeni, anateseka nchini Pakistan

    Duhh jamaa anapigwa lakini hageuki yaani halali na tumbo sbb hawa jamaa akigeuka tu wanaweka bunduki pembeni
  6. T

    JamiiForums Tanzania RPC Dodoma adai hawakuzuia mkutano wa CHADEMA, walichozuia ni bendera

    Nashukuru baba yangu alistaafu jeshi la polisi miaka ya tisini angetoa kauli kama hii sijui ningewezaje kumsalimia shikamoo baba labda ningemwambia shikamoo mama
  7. T

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Familia mbili zachanganyiwa maiti mochwari katika Hospitali ya Mount Meru

    Tatizo hapa ni kukwepa majukumu kwa watanzania sisi wa sasa hivi Unakuta mtu umeteuliwa kwenda kuandaa mwili ww ukifika unawapa marasta wa mochwari elfu ishirini nguo za marehemu na sanda unawaonyesha na jeneza unakaa mbali unakunywa soda sbb bia zimezuiliwa wakimaliza unaenda unapeleka kwa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kero: Nyimbo za dini sehemu za kazi

    Shida kuna nyimbo nyingine hazieleweki na wengi hlkn zile za kiswahili fasaha zinazoeleweka na wengi hazina shidaa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Eddo Kumwembe: Hii inanitia shaka hata mimi

    Nawaza tu ile sheria ya kazi inayosema HAIRUHUSIWI KUMPA MTU WA NJE YA NCHI KAZI INAYOWEZA KUFANYWA NA MWANANCHI WA TANZANIA.
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

    Ivi dada mwenye zaidi ya miaka kumi na nane anapewaje mimba ambayo hamjapanga huku ukiwa na elimu kabisa ya kujua mimba inaingiaje shida ni moja si kila unamwambia njoo malizaa babaa kaamua kuwa baba wengine wanataka starehee ni jambo la kukaa na kupanga pamoja Ungechukia wanaume na ukaacha...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

    Hawa ukiwaambia unawapeleka magereza mwaka mmoja so wataomba uwaongezee iwe miwili sbb huko nako huduma zao wanapata
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiuzulu

    Watu wanaacha kazi zao za maana wakija kutemwa wanashindwa kurudi kisa waliitwa waheshimiwa ngoja tuone waandishi kama watarudi studio
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi bora, kuolewa kabla au baada ya kumaliza Chuo?

    Phone book imejaa wavulana na vibabu picha zako zote unapiga umegeuka kwa nyuma alafu unawaza kuolewa uje usomeshwe na mumeo ivi wakina dada ni lini mtaacha kutufanya sisi baba zenu? Tukioana ni kuanza kujenga familia tu
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyofanya bonge la sherehe baada ya mke wangu kufukuzwa kazi

    Yaani jitaidi na upate cheti chake feki cha form four akijifanya tu kuvituma mahali tafuta kijana apeleke ushahidi alivoji hahaaa haaaa komoa nikukomoe
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka nijaribu kuzama chumvini ili asinione mshamba

    Ukifika uvinza usisahau kupitia na bwawa la mavi sbb ni hapo chini kidogo ya uvinza uwe umemaliza tour yako vizuri
Back
Top Bottom