Kipi bora, kuolewa kabla au baada ya kumaliza Chuo?

w
kuollewa baada ya kumaliza university au before mi nkimaliza high school ntaolewa university ntaenda kusoma kwa mume wngu . ipi bora after au before? ushaur pls
we veepe,jukumu la kusomesha ni la mzazi kwenye ndoa ni kulala bila chupi afu unajipangia eti utaolewa ukimaliza shule waoaji wenyewe tuko wapi wenzako wanazeka mtaani wanatafuta hata wa dawa hawampati soma acha mawazo chakavu
 
Ukishaolewa sahau degree......kuwa mjasiriamali tubusiwe goalkeeper....maana hakuna namna ukiwa gk itakula kwako utatamani degree ya bachelor...
 
uko na aid nzuri japo inaitaji moyo na inategeme umempata yupi wengine tunaonekana kama watu kimaneno lakn kwenye matendo ya utekelezaji 0
 
1467322591697.jpg
 
Olewa tu maana hamna namna the more u grow the little the chance for marriage
 
Hakika usijidanganye. Naomba ukasome ndipo uolewe. Katika kipindi ambacho upo chuo endelea kuwa katika uchumba na mumeo mtarajiwa.

Ukishaingia kwenye ndoa hesabu maumivu. Kwanza ndoa itakubana,hutakuwa na muda mwingi wa kujisomea na badala yake kuwa karibu zaidi na mumeo. Ufaulu wako hakika hautakuwa mzuri.

Pili,ndoa ni ngumu kama hamjajipanga vema. Hali ya uchumi inaweza kubadilika muda wowote na mumeo akajikuta kafulia na hana tena fedha za kukuwezesha kuendelea na masomo yako.

Tatu,sijajua utaanza kusoma lini baada ya kuolewa. Kwenye ndoa lazima utundikwe mimba tu. Ndoa siyo pa kuvuliana michupi bila sababu. Mnafurahia tendo la ndoa huku mkiwa na malengo ya kuwa na watoto. Sasa ukishapata mtoto ndo basi tena,heri upate ukiwa chuo maana utaahirisha mwaka mmoja alafu utakuja kuendelea.

NNE,ndoa zina changamoto nyingi Sana. Waweza kuwa na stress mpaka hata hamu ya kusoma hapo baadae ukaikosa. Hakika utakuwa umejiumiza.

Mwisho nikutakie kila la kheri katika maamuzi ambayo utayachukua. Mungu awajalie ndoa njema na yenye baraka.
 
Ungekuwa unajioa mwenyew sawa ungaliweza kujichagulia Muda WA kujioa.. Waowaji tumebaki wachache mno afu tunaoa Muda tunaotaka sisi.
 
Phone book imejaa wavulana na vibabu picha zako zote unapiga umegeuka kwa nyuma alafu unawaza kuolewa uje usomeshwe na mumeo ivi wakina dada ni lini mtaacha kutufanya sisi baba zenu? Tukioana ni kuanza kujenga familia tu
 
we dada hebu soma
kwa mume sio mchezo mchezo kama komborela
ni kibarua tena kizito...
soma kwanza
 
Back
Top Bottom