Kero: Nyimbo za dini sehemu za kazi

ndo mlivo nyie,kujiona mnastahik kuliko wenzenu,wakitokea wendawazimu wenzenu wakawachinja na kuwalipua mnashangaa
Hizi ni dalili za watu waliopagawa mapepo, ndio maana Kuna nyimbo Njoo ufanyiwe maombi. Unawaza uharibifu badala ya Wema? Halafu unasema wewe ni mtu wa dini? Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Njoo ufanyiwe maombi
 
Ni kweli tunastahili kuvumiliana na kuheshimiana. Ustahamilivu hasa hutambua uwepo wa wenzio wenye imani tofauti na wewe. Sasa katika hali ya kawaida suala la nyimbo za dini kwenye taasisi za umma ni kero hasa kwenye nchi isiyofuata dini. Hatumuhitaji Magufuli au wizara zake kuelekezwa hili. Inakera. Sasa hivi hata kwenye mabasi ya mwendokasi hali ipo hivi. Tafadhali eleweni nyimbo hizo unaweza kuzipenda wewe kwa mwingine ni kero.
Kwenye mwendokasi nyimbo za imani gani!?

Kwanini usiweke wazi ili wadau wapate kujua
 
Ni kweli tunastahili kuvumiliana na kuheshimiana. Ustahamilivu hasa hutambua uwepo wa wenzio wenye imani tofauti na wewe. Sasa katika hali ya kawaida suala la nyimbo za dini kwenye taasisi za umma ni kero hasa kwenye nchi isiyofuata dini. Hatumuhitaji Magufuli au wizara zake kuelekezwa hili. Inakera. Sasa hivi hata kwenye mabasi ya mwendokasi hali ipo hivi. Tafadhali eleweni nyimbo hizo unaweza kuzipenda wewe kwa mwingine ni kero.
ofisi zingine unakuta bosi mnafiki mbinafsi mkatili lakini anajitia kusikiliza hizo nyimbo na maoni ya kimungu ,,,kweli yesu aliona mbali akasema utawajua kwa matendo,,,,hapo alitukamata kwelikweli
 
Ni kweli tunastahili kuvumiliana na kuheshimiana. Ustahamilivu hasa hutambua uwepo wa wenzio wenye imani tofauti na wewe. Sasa katika hali ya kawaida suala la nyimbo za dini kwenye taasisi za umma ni kero hasa kwenye nchi isiyofuata dini. Hatumuhitaji Magufuli au wizara zake kuelekezwa hili. Inakera. Sasa hivi hata kwenye mabasi ya mwendokasi hali ipo hivi. Tafadhali eleweni nyimbo hizo unaweza kuzipenda wewe kwa mwingine ni kero.

Acha kuleta uchochezi wewe
 
Shida kuna nyimbo nyingine hazieleweki na wengi hlkn zile za kiswahili fasaha zinazoeleweka na wengi hazina shidaa
 
Acha kuleta uchochezi wewe
Tusiogope kujadili yanayotukwaza kwa sababu ndio yatakayo tufanya tuwe bora zaidi. Mijadala makinii hujenga na ndio maana tunatumia lugha ya kuheshimiana.
 
hebu jitambue na ukomae ki itikadi! aweke kizazi kipya mtasema tumeokoka n.k hutaki kuwa private car over.
 
Haya mabasi yenyewe ya muendo kasi ni kero kwa wengine. Sasa tutauaondoa 7bu wengine wanakereka?
Obvious not. Sikiliza huwezi ziba masikio maana hamna namna sasa tumechoka
 
Hakuna cha kujiridhisha na mahusiano. Watu wanakaa kimya ila wanakerwa. Kwanini usisikilize kwako? Eti dereva hapo ni ofisi yake! Hiyo inaonyesha poor customer care. Hujali wengine eti ofisi yako?
Unazani kama atatakiwa kuzima hizo za dini aweke zipi maana hata ukiweka Bongofleva au R&B bado kuna utakao wakera tu. Cha msingi jaribu ku sacrifice interest walao kwa dk chache hizo unazopenda utapiga kwenu
 
Mjadala kwa wengine ni chuki na uhasama. Kama ni ofisi yako haina shida, tatizo ni ofisi za umma zinazohudumia wananchi. Kama unahudumia watu kwenye ofisi ya umma bado ni tatizo. Hii huweza hata kujenga hisia mbaya pale mteja asiporidhika. Ndio maana kwenye auditing wanahimiza independence in appearance etc.
Mbona kuna msikiti ofis ya makamu wa rais hulisemi? uwanja wa ndege uliojengwa kwa kodi za watu bial kujali imani mmetengewa sehem ya kuswali hulisemi hilo! au wewe ya waislam kwa umma ni safi lakini ya wakristu ni haram?
 
Hahaha wewe unakosea sana, huwezi kumridhisha kila mtu, nikikuta unapiga khasida mimi mkristo inabidi nivumilie hadi mwisho wa kituo changu cha gari, mwislam naye avumilie kwaya vilevile na mtu wa dini awavumilie wapenda music wa akina diamond pia.
Mwarobaini wa hili ni kununua gari yako uweke upendacho
Aah mkuu, nimeipenda sana hiyo KUVUMILIANA.
 
Sio nyimbo za dini tu nyimbo zozote. Wewe u aweza kuwa unapend bongoflava mwngine blues au mchiriku au taarabu au qaswida au kwaya. Chamsingi zote zipigwe marufuku.
Hata wanaopiga kelele pia ni kero zaid ya hizo nyimbo
 
Back
Top Bottom