Recent content by Tormenter

  1. Tormenter

    Prophet IPM anahubiri injili gani?

    Sasahivi ukiwa motivational speaker tu tayari umeukaribia unabii👁👁😂😂
  2. Tormenter

    Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    🤣🤣🤣 tukutane hapa tuliopita humu 2026 february 23
  3. Tormenter

    Natumia yas nampigia mtu wa Airtel hapatikan ila inajibu asante kwa kutumia Vodacom namba unayopiga haipatikani

    Kawaida mkuu hiyo namba ya mshkaji wako ipo diverted kwa namba nyingine ambayo ni ya voda ndio maana umeona hivyo
  4. Tormenter

    Mfahamu "Mkandala Rufufu" mzee wa kukotola

    Mcheki kwa namba yake anakutumia mwenyewe bila shida, tena pendekeza hata mamuvi makali unayotaman yarejelewe aseeh noma sana
  5. Tormenter

    Mfahamu "Mkandala Rufufu" mzee wa kukotola

    Ingawa nae ni muongo pia 😂😂
  6. Tormenter

    Baraza la Sanaa limfungie Bambo kazi zake. Anaharibu sana Kiswahili kwa makusudi

    Ai em buroke buroka but ai no kilie pesiiiiii... I'm broke, broke but I no kill person 🎶 Sikiliza huo wimbo mzuri sana wa Chellah kutoka Nigeria. Nothing to diskasoo Coz I dey win by difato And Wizauto enedauto (You go bow for the result, Nothing to discuss, ’Cause I dey win by default, And...
  7. Tormenter

    Ni nini sababu ya binadamu kuletwa Duniani?

    Niweke kambi hapa, I'm here to learn
  8. Tormenter

    Nimepigwa Tsh milioni 8 kwenye biashara ya uwakala kupitia mfanyakazi mzembe

    Naam mkuu ndiomaana situation kama hiyo kung'amua kwa harakaharaka haiwi rahisi mzee.. ni sawa na mchepuko uondoe namba ya wife na kuweka yake kwenye namba iliyoseviwa kama wife... alafu aaanze kukuletea mitego 😂😂 lazima tu akutikise kiaina
  9. Tormenter

    Nimepigwa Tsh milioni 8 kwenye biashara ya uwakala kupitia mfanyakazi mzembe

    Kinachofanyika ni kwa mfano, mimi nasevu namba yako kama "boss bush" tapeli akichukua simu yangu anachokifanya anaedit namba tu kwa kuondoa za boss og na kuwekwa namba feki lkn jina ni lilelile, hiyo inakuwa mbaya zaidi kama boss na mfanyakazi wana kawaida ya kuwasiliana kwa kuchati
  10. Tormenter

    Nimepigwa Tsh milioni 8 kwenye biashara ya uwakala kupitia mfanyakazi mzembe

    Hiyo situation ni ngumu sana kuchomoka aseeh! Jamaa sio lazma wakuombe kuchomoa line, rafiki yangu aliombwa tu simu apige.. yaan within seconds mtu kashabadili jina! Ngumu sana kuchomoka hapo japo i can't rule out uwezekano wa kucheza hiyo game
  11. Tormenter

    Nimepigwa Tsh milioni 8 kwenye biashara ya uwakala kupitia mfanyakazi mzembe

    Hata mwezi haujaisha aseeh kuna rafiki yangu nae kakutana na hili balaa, jamaa kaazima simu kabadilisha namba za jina X kwa kuweka zake kisha baada kama ya 2hrs akaanza kuchat kama vile ni yy X.. aseeh alipigwa 420k kama utani yan.. town aseh town aaah acha tu
Back
Top Bottom