Naomba unieleweshe... Hivi kuna uwezekano wa kufatilia handset ya mtu bila Kujua IMEI ya handset yake? Na Kama sivyo, Inamaana polisi walikuwa na IMEI ya handset ya Mwalimu Dorothy b4? kama walikuwa nayo huoni kulikuwa na dalili ya kumtilia mashaka ndo mana wakamfatilia?
Napitia sehemu chache ya Hii taarifa na kutoa maoni yangu (kwa baadhi ya Mistari niliyoinenepesha na kuipaka rangi nyekundu)
1. Inaskitisha kama mwangosi alikuwa ni ndugu yenu na mkaruhusu mazingira yanayoashiria kuuwawa na vyombo vya usalama
2. nchimbi alishasema siku 30 wewe mda mfupi...
Mkuu Markj swali langu lilikuwa ni jepesi sana na jibu lilikuwa ni ndiyo au hapana
Sidhani kama nimefanya kosa kuuliza swali na kama hukujisikia kujibu pia ulikuwa na uhuru wa kutojibu na kukaa kimya
Ila hadi sasa swali langu haujajibu mkuu.
Usiogope Mkuu mimi nabangaiza kwa kupita kwenye internet kujiokoteleza vipoint vya masuala mbalimbali ya Kitaalam coz napenda kujifunza vitu vipya kila siku.K
1: kuhusu kivuli nlikuwa sijakupata Vizuli hichi kinaonekana kama kimiminika ambacho kiukweli ni vigumu kuprove nini nini mpaka ukafanye...
JF imejaa wataalam (Professionals) wa taaluma mbalimbali.
Huwa ninaogoopa sana kumunderestimate mtu kabla sijamfahamu hasa wanaotumia annonymus ID kwenye JF
Huyo mtu aloandika Huo uzi utagundua aliandika kwa Lugha ya kitaalamu (professional Language) means anajua alichokuwa anaandika
Pengine...
ANOTHER EVIDENCE
Kuna Kitu Kitaalam (IN FORENSIC PATHOLOGY) kinaitwa RIGOR MOTIS Hii ni Position ya dead body inavyoonekana baada ya kuwa amekufa na kuchukua mda usiopungua masaa 4 (jinsi mwili unavyokakamaa na hata ukionyoosha haunyooki)
3: kuhusu vumbi napata shida kutumia kama ushahidi...
SOMA POST NO 12 nLIKUWA NIMESHAFANYA ANALYSIS MAPEMA
Kuna uwezekano mkubwa kuwa huyu Jamaa Aliuwawa kabla ya kuwekwa hapo kwenye mti ili kutuhakikishia amejiua mwenyewe AS PER FORENSIC PATHOLOGY ANALYSIS Unless wanithibitishie hizo picha zilizopigwa sio za kwanza kuchukuliwa au zimechukuliwa...
Forensic Pathologist wanao na mimi namfahamu Mmoja wa Madaktari Ambaye ni Daktari Bingwa wa FORESNIC (FORENSIC PATHOLOGIST) Na anafanya Kazi makao makuu ya Jeshi la Polisi (CID) section na Ni mtaalam Balaa.. sijui huwa anafanya kazi gani.. Huyu bwana ALisoma AMO Hospitali Ya Bugando kati ya 1971...
Mkuu Moto2012 Nafuata Ethics Kuepuka kutoa Conclusion kuwa Huyu Mtu kauwawa ila nachosema KUNA UWEZEKANO MKUBWA KUWA AMEUWAWA
TUACHANE NA HISIA TUTUMIE USHAHIDI WAKITAALAMU
NAONGEZA EVIDENCE FROM CRIME SCENE
1: Kivuli kisikupe shida coz hiyo ni source of light iloletwa na Mpiga picha
2...
Nishafanya analtsis hapo Juu na Nikasema Most likely huyu mtu ameuwawa Na tena imechukua mda tu kabla hawaja mning'iniza hapo kwenye vitambaa
ANOTHER EVIDENCE
1: Kuna Kitu Kitaalam (IN FORENSIC PATHOLOGY) kinaitwa RIGOR MOTIS Hii ni Position ya dead body inavyoonekana baada ya kuwa amekufa na...
Eng, Mimi kwa maoni yangu sikuwa nadhani hata kama tungefikia hatua ya Kujadili mgomo upi ni hatari kuliko mwingine kwa sababu migomo yote inamatokeo hasi... Hapa ni tuiwajibishe serikali iliyoshindwa kutatua matatizo ya taifa kwa njia ya majadiliano hadi inakuwa migomo
SULUHISHO: Tuendelee...
So bad halafu wanajifanya wako VERY SERIOUS na kudeal na wananchi wa kawaida... Ukitaka kujua walivyojeuri Especialy hao askari angalia yafuatayo
1: Kuzuia maandamano especially ya wapinzani na kukata ya wafanyakazi: HAPA HUWA WANATAARIFA ZA KIINTALIJENSIA ZA FASTA LAKINI SIO KWA WEZI WA MALI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.