TBC wana potosha ukweli wana rusha matangazo ya uvunjiifu wa amani wa CHADEMA na nchi kutotawalika

Naomba CDM wafanye counter attack Mapema, SOON

CDM wanunue kipindi ITV na Star TV kusahihisha.

Please Mnyika and Lissu, do this ASAP.
 
Kuna kitu watu hawajui. Ukiua mtu damu yake huwa haiendi bure na inajua aliyemwua hivyo malipo yanaenda moja kwa moja kwa mhusika haiwezi kuruka. Sasa basi kama wana akili wangejiuliza maswali machache. Je tangu waanze kuwaua watu wamepata nini? Je CCM kimependwa na CHADEMA kuchukiwa au ni kinyume chake? Kama ni CHADEMA kinahusika na mauaji basi damu za waliouawa zitazisulubu CHADEMA lakini kama ni CCM itafanya vivyo hivyo. Ni afadhali wawe wakweli waache propaganda hazitupeleki popote wala haziwezi kuisaidia CCM. Kama wanataka ushauri wa bure ni kuwa wawapatie wananchi kile wanachokitaka na sio kuwaumiza kwa kigezo cha kudhibiti maandamano/mikutano.
 
Jumapili saa mbili Usiku, KIPINDI MAALUM JUU YA MAUAJI YA MWANGOSI, Channel 10
 
mi hata siiangaliagi kabisa station iyo maana haina mwelekeo
 
"GUN CAN'T KILL PEOPLE,BUT PEOPLE KILL PEOPLE" ipo wazi kuwa ccm kushirikiana na polisi wameua raia wa morogoro na mwandishi wa iringa..........rejea maelezo ya nape kabla ya vurugu za morogoro......nape anajua haya filamu hii.
 
Mkuu achana na hao wanakisafisha chama kwa kuwadanganya wasiojua lolote; sie tuko kwenye maombolezo ya ndugu yetu Mwangosi...!
 
Hata wakionyesha hayo wanaoangalia ni wana CCM, sisi wengine hatuna time na TBCCCM kwa hiyo wanawakilisha upuuzi wao kwa wenzao mi sasa hivi nimetumbukiza CD ya music nakula zangu ngoma.
 
Angalia tbc wanarusha kampeni za mwaka 2010 za Arusha na kauli za kuwa waliapa kuwa nchi haitatswalika na vurugu wakati wa sensa za makazi na wakati walishakatazwa

TBC mufilisi na huwa siiitizami kabisa, yaani milele!!! Siangalii vipingi vya uongo, inalea SSM, tena ijiite TV SSM. Na muda si mrefu itakwishney. hali mbaya!!
 
Kuna tusi nlikuwa nimewatukana tbc, nimeogopa ban nikalifuta..tbc is a media disaster, to hell tbccm
 
Walivyo wapuuzi hawawezi hata kutengeneza matukio yanayoweza kuwapumbaza/kuwaaminisha wananchi. Zaidi wananchi ndiyo wanabaini jinsi gani wanavyotengeneza uongo na kutokuwa naimani nao tena. Kama siyo professional wa kutengeneza uongo, then usitegemee utaweza kupindisha ukweli ulio wazi.

utampeleka punda mtoni ila maji kunywa ni shughuli. Sio hawajui bali haiwezekani kuigiza' au kupindisha ukweli ' vijana tbc pia ni wanataaluma so, inawashinda kuenda kinyume;
 
2015 itafahamika, nawaonea huruma sana hawa chama cha mauaji, kwan 2015 itakuwa ni kuwafilisi tu mipesa yetu waliyotuibia toka enzi hizoo.
 
Napendekeza baada ya Ccm kupigwa chini 2015 TBC ibadilishwe jina kwa sababu ni chombo cha umma.
 
Back
Top Bottom