moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,271
- 1,491
asante kaka Tonny, I hope wewe ni mmoja kati ya products za Ng'walali. Asante sana kwa maelezo yako, ila suala la kivuli na mwanga wa kamera bado sjaridhika sana coz mwanga usingekuwa licalised kwenye just mguu wa kushoto. Pia its expected mtu aliyejinyonga uso/kidevu kuangalia juu coz anakosa hewa hivyo kuangalia juu ni attempt ya kujipatia hewa na kupunguza makali ya kitanzi. more likely PC dunga mauti yalimfika kabla ya kitanzi