Recent content by tommyy

  1. T

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Maudline Cyrus Castico achukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea urais

    Mbona mwaka 2015 bara walijitokeza 46. Hapo wengi hawautaki urais isipokua wanataka teuzi tu kutoka kwa Rais atakaepita lazima ataikumbuka tu timu yake ya wachukua fomu wenzie 32. Kama JPM waliochukua nae wengi walilamba uteuzi na uwaziri.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wataalamu, ina maana gani kupandisha mapato ya mwajiriwa kutoka 170,000/= mpaka 270,000/=?

    Kwa hiyo kwa mfano mtumishi ana basic ya 750 vp anaweza pata ongezeko kwenye take home yake? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya za kutuma pesa kutoka nje zitapunguza mapato

    Mbona unapanic mkuu? Hv kuna mekezaji gani wa maana anaetumia app kutuma hela ya uwekezaji wake? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni faida gani wanayopata wenye followers wengi Instagram na viewers wengi YouTube?

    Wadau naomba kuuliza maswali mawili mwenye kujua anielekeze. 1. Wale wenye followers wengi Instagram hadi wanakuwa na tick ya blue hivi wanapata hela au inakuaje, yaanikiufupi wanapata faida gani na ile tick ya blue? 2. Wasanii wakiwa wametoa nyimbo wakiiweka kwenye YouTube wakipata views...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Chato kuwekewa taa za barabarani

    Tuache ushamba bana taa za barabarani sio issue kubwa hata kidogo kwanza zinatumia sollar tutembee tuone ndio tutaamini ni swala dogo sana.Nenda zanzibar uone taa za barabarani zipo barabara nyingi tu ukipita usiku zinawaka
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado hatujapata Rais Mzalendo na Intellectual

    Tanzania tunatafuta Rais mzalendo wa kazi gani kwenye taifa linalokesha kutafuta video ya ngono?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Magufuli inathibitisha pasipo shaka kuwa anaingilia mhimili wa mahakama

    Ametoa ushauri tu hakuingilia
  8. T

    JamiiForums Tanzania Miaka 50+ ya uhuru ila bado tu tunataabika na usafiri kisiwani Mafia

    Pole sana mkuu
  9. T

    JamiiForums Tanzania Watumishi kadhaa wa Halmashauri Mafia waitwa kuhojiwa na TAKUKURU kisa ubadhirifu wa DED

    Kama kitu hukijui kaaa kimya
  10. T

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Watabana wataachia tu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. T

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom