Chato kuwekewa taa za barabarani

Chato kuwekewa taa za barabarani

Katika nchi ambayo imejaa vijiji vingi vilivyotopea ktk lindi la umaskini na ufukara wa kutupwa, kweli unapata ujasiri wapi wa kufanya hivi!: "it is not fair ooo, igweee!"
 
Mada za kipimbi kama hizi utawavuna vilaza wengi, ukimaliza hili njoo na Pwani kupata uwekezaji wa trillion 7 za bwawa la umeme kutoka kwa huyohuyo mtu.
Acha upumbavu, usilazimishe watu wawe na mitazamo kama ya kwako.
Huo uwekezaji unaouzungumzia uanzishie uzi, ndiyo kuelimishana kunavyokwenda. Kama uzi ukikosa mmvuto ni uhuru wa watu kukikubali/kukipenda kitu au kutokipenda, uwanja huru wa kutoa maoni ndiyo reflection ya mitazamo halisi mioyoni mwa watu.
Tuacheni wanachato tuendelee kufaidi keki ya nchi(sarcasm).
 
Halafu Rais anatoka Chato na waziri wake wa ujenzi na uchukuzi anatoka Chato...Huyu waziri namnukuu "Chato itakuwa jiji la mfano"

Kishindo cha awamu ya tano by Gerson Msigwa!
Dah,hivi huko Ufipa hamna hata mwenye AKILI TIMAMU?Waziri wa ujenzi anatoka CHATO?Ukiwa na chuki ni RAHISI SANA KUWA MPUMBAVU.
 
Si kweli. Waziri wa ujenzi na uchukuzi mhandisi Kamwelwe hatokei Chato let alone kanda ya Ziwa!!
Mhandisi Isaack Aloyce Kamwelwe ni Mkonongo toka Majimoto, Katavi. Hiyo ya kwamba anatoka Chato ni uzushi wa mchana kama uzushi mwingine wowote.
 
Ni upumbavu kufikili kila kitu lazima kikamilike dar ndo sehem zingine zipate, sasa chato hawakai watu ila taa zinazowekwa musoma hiyo sio ishu, kwa nni ziwekwe msoma wakati dar baadhi ya shemu hazipo na sijaona mkilalama humu? Wakari mwingine punguzeni upumbavu wenu, wa roho mbaya na urofa.
Kukosa akili kuna'reflect sio tu mtazamo bali pia uandishi, rudi shule ukajifunze kuandika kiufasaha labda itakusaidia hata upeo wa kuiona dunia katika uhalisia wake.


Wakari mwingine
Urofa
Kufikili
-That the fvck?
 
Wakati makao makuu ya nchi hakuna mpango huo, wakati jiji kuu la kibiashara nchini bado mitaa mingi sana iko gizani. Pesa anazochota bila idhini ya Bunge in trillions na kuzificha kwenye VOTE 20 na VOTE 30 ili ofisi ya CAG isizikague! Mwizi HAACHI ASILI!
Unazungumzia makao makuugani? Kama ni Dodoma sikweli, barabara nyingi za dom zimeshawekewa taa
 
CRDB walifungua branch kule , yakiyowakuta wanajuta.
 
Halafu matrilioni yanayomwagwa wilaya ya Ubungo hakuna mtu anasema, sijuwi ni kwasababu ni wilaya inayongozwa na chama kileee....?
 
traffic light zipo mda mbona hizo wanazotaka kuziweka ni zile za kawaida zinazokua pembeni ya barabara kama taarifa inavojieleza
 
Nadhani moja ya mambo ambayo Magu analaani ni kuundwa kwa mkoa upya wa Geita, na kufanya makao makuu ya mkoa huo kuwa Geita!!

Kwa sasa ni kama anaona aibu tu (kama kweli aibu yenyewe anayo) kuhamisha makao makuu kutoka Geita kwenda Chato! Lau kama mkoa wa Geita ungundwa kwenye hii awamu yake, basi moja kwa moja HQ ingeenda Chato!!!
 
Unazungumzia makao makuugani? Kama ni Dodoma sikweli, barabara nyingi za dom zimeshawekewa taa
Umejibu swali moja ya kuwa taa za barabarani na Idodomya zipo, vipi swali la pili la matumizi fedha za walipa kodi ya 'kulineemesha na kuliboresha' jiji la Chato bila idhini ya bunge ili kukwepa auditing za CAG?
 
Wakati makao makuu ya nchi hakuna mpango huo, wakati jiji kuu la kibiashara nchini bado mitaa mingi sana iko gizani. Pesa anazochota bila idhini ya Bunge in trillions na kuzificha kwenye VOTE 20 na VOTE 30 ili ofisi ya CAG isizikague! Mwizi HAACHI ASILI!
true
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Barabara nyingi si barabara zote kwanini wasiweke kwenye barabara zote za Dodoma na jiji kuu la biashara nchini kabla ya KUKURUPUKA na kurukia Chato!? 😳😳😳😳 Chato ina umuhimu gani ukilinganisha na Dodoma na Dar cha kupewa kipaumbele cha taa za barabarani wakati kuna mitaa Dodoma na Dar haina taa za mtaani?

Unazungumzia makao makuugani? Kama ni Dodoma sikweli, barabara nyingi za dom zimeshawekewa taa
 
Tuache ushamba bana taa za barabarani sio issue kubwa hata kidogo kwanza zinatumia sollar tutembee tuone ndio tutaamini ni swala dogo sana.Nenda zanzibar uone taa za barabarani zipo barabara nyingi tu ukipita usiku zinawaka
 
Back
Top Bottom