mwena
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 649
- 418
Waathirika wa tukio ni watanzania na wapo Tanzania. Huko Oman watamzindulia nani mwenye uchungu na muathirika (ngozi nyeusi)?Hawa human right watch nao wehu tatizo limetokea Oman halafu ripoti mnazindulia Tanzania kwa kiswahili hao waoman wataelewa kweli