Recent content by Tom_Mbayeye

  1. Tom_Mbayeye

    Natafuta kazi yeyote ya kupata chochote kitu

    Waungwana habari za asbh, nahisi nyote ni wazima kabisa. Mimi ni kijana wa miaka 26 ninatafuta kazi yeyote ile ila iwe ya kuajiriwa kwa mkataba ili kujikwamua na maisha haya. Niko serious kwa jambo hili elimu yangu 4m4 na nimepata kusoma Chuo ya Afya mwaka mmoja ila kwa sasa naomba kufanya kazi...
  2. Tom_Mbayeye

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sub: Green, Cahill, Luiz, Willian, Pedro, Giroud, Ampadu & Rahman,
  3. Tom_Mbayeye

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Na kikosi kitakuwa hivi
  4. Tom_Mbayeye

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hapana kwa masaa haya 3 yaliyobakia kuna miujiza inakuja kutokea kwani Fakir yuko angani wa kuja kumalizana na The Blues
  5. Tom_Mbayeye

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wapenzi mashabiki wa English Premier League (EPL) ndio hiyo iko kwa hewa ni masaa 23hrs pekee turudi kwa msimu mpya First Epl Man U Vs Leister City 11jioni Sasa tuanzie na usajiri wetu na yajayo yanafurahisha kabla ya saa 12jioni dirisha la usajiri litakapo kuwa linafungwa. OFFICIAL...
  6. Tom_Mbayeye

    Imeshawahi kukutokea hii (NAOKOKA GUEST)????

    Tatizo unapiga nyeto sana kijana acha ndio maana now days umeshuka kiwango
  7. Tom_Mbayeye

    Dada wa kazi wa jirani yangu ananitafuta ubaya..!!

    Aunt kwa hiyi unanipa ruksa eeeeh
  8. Tom_Mbayeye

    Imeshawahi kukutokea hii (NAOKOKA GUEST)????

    Yes ila nimekubalina na yote 7bu wazazi wangu wamenipa jina la Tom na baba jina lake mbayeye
  9. Tom_Mbayeye

    Imeshawahi kukutokea hii (NAOKOKA GUEST)????

    Yes ni jina langu halisi kwani me ni Mkenya
  10. Tom_Mbayeye

    Imeshawahi kukutokea hii (NAOKOKA GUEST)????

    Umeenda Nyumba ya Kulala Wageni mgeni wako (Mchepuko) Umeshatangulia uko room no 103 kufika jamaa wa mapokezi anakufahamu vizuri anakuuliza Mkeo/Mumeo hawajambo? Mtoto nae? [emoji23][emoji23][emoji23] Niambie ungefanyaje?
  11. Tom_Mbayeye

    Zamaradi apata tabu sana baada ya kutomtaja Zari katika salamu za birthday ya Tiffa wa Diamond

    Katika ari ambayo isiyoelezeka Zamaradi ajikuta akilabwa na Matusi ya Nguoni na Watanzania hii ni baada ya kumuWish Happy birthday@tiffa wa Diamond kwa kumtag@diamondplatnumz pekee bila ya mama mtoto@zarithebosslady. Kwani aliandika hivi: A very Happy Birthday to the little Princess Tiffah...
  12. Tom_Mbayeye

    Dada wa kazi wa jirani yangu ananitafuta ubaya..!!

    Sasa ww kijana hauna mke ww si ndo watoto wakulelewa na akina Sister Fey eeeh achanga ujinga mtoto wa mwenzio ni wako aisee
  13. Tom_Mbayeye

    Ndoa yangu inakaribia ila michango kutoka kwa marafiki hakuna

    Hairisha tarehe panga Dec then wakabe koo hao marafiki zako watoe michango hakuna namna
  14. Tom_Mbayeye

    USHAURI : Nimempa mimba mwanafunzi

    Hapo na ww jiandae kutoa maliwato kwa Segerea aisee hakuna namna
  15. Tom_Mbayeye

    Tofuti ya wanaume wa Dar na wa mikoani

    Mijanaume ya mkoa ikija Dar inaiga mambo za kike hadi saluni inaenda Mxieeww Mbakigi makwenu Nyau nyie mnafanya hadi wanaume sisi wa Dar tuonekane majinga Dar hatutak shoboooo sisi ni watafutaji buaanaa Copy kwa Mshana Jr Nimeambiwa ndie mtu maarufu humu JF Sky Eclat
Back
Top Bottom