Recent content by Toedsloth_

  1. Toedsloth_

    JamiiForums Tanzania DOKEZO URGENT: Binti wa miaka 16 ameozeshwa kwa lazima kama mke wa pili, huko Laela, Sumbawanga

    Mheshimiwa hakika umeonyesha na kudhihiirisha kua ww ni kiongozi bora na cyo bora kiongozi, umeonyesha busara katika kujibu maswali na hoja za wadau hapa kwenye jukwaa kwa Busara na Hekima, Mungu asimame na ww katika kila hatua unayopiga na Historia itakukumbuka
  2. Toedsloth_

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Serikali ya mapinduzi Zanzibar

    Zanzibar kulikua na Jaji anaitwa Walfogong Durado. uyo ukipata chapisho lake lenye kichwa cha Habari TANGANYIKA yaionya ZANZIBAR, utajifunza mengi sana kuhusu huu Muungano
  3. Toedsloth_

    JamiiForums Tanzania Siuoni mchango wa wabunge toka visiwani kwenye bunge la Muungano

    Kuna nakala aliwai kuandika Jaji Wolfogong Durado chenye kichwa cha Habari TANGANYIKA YAIONYA ZANZIBAR, tafta uisome utapata majibu ya hayo mawazo yako
  4. Toedsloth_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naweza nikamtibu mpenzi akaacha uongo?

    Hakuna dawa, Dawa ya kutibu tatizo hilo milele ni ww kuiweka nafsi yako katika hali ya utayari kua kila akisemacho uyo binti umpendae ni Ukweli mtupu,hta kama anasema uongo sbbu ww haugegedi uongo mkuu.
  5. Toedsloth_

    JamiiForums Tanzania Ukipata bahati tembelea Miji hii

    Uko mbali sana tafadhali tembelea ikungulyabashashi Bariadi hakika hautajutia nauli yako
  6. Toedsloth_

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Jela miaka 29 kwa kumbaka mtoto mdogo wa kiume mwenye miaka 8

    Usiamini kila kitu kinachosemwa akili ya kuambiwa changanya na yakwako Dunia ina mengi nyuma ya pazia
  7. Toedsloth_

    JamiiForums Tanzania Baba wa mke wa Rais Zanzibar

    Ziandae kengele zako kwa matumizi ya plaiz
  8. Toedsloth_

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

    Anzisha na ww kampuni yako ili uajiri waumini wa Dini yako au maumivu yakizidi kamuone Daktari
  9. Toedsloth_

    JamiiForums Tanzania Mnataka Kusema Hii Mishangazi Hapa kwa Mwamposa yote Haijaolewa au imekuja kuchukua dawa ya Biashara?

    Habari bila picha ni sawa na usingizi bila ndoto
  10. Toedsloth_

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

    Binadamu wote ni sawa na Africa ni 1 tulifundishwa hivyo
  11. Toedsloth_

    JamiiForums Tanzania Utata kifo cha Nusura, Ndugu wahoji uharaka wa mazishi bila uchunguzi

    Hii wampelekee Lamata wa jua kali inaweza kua tamthilia bora kuliko zote
  12. Toedsloth_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukikataliwa na mwanamke usiumie, si jambo baya kama unavyodhani ni jambo zuri

    Ww endelea kukaza fuvu kwa kutongoza, kutongoza iliisha miaka ya90 ndyo maana unakataliwa, kwa hali iyo ya kutongoza hta uende Riverside utakataliwa2
  13. Toedsloth_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kumuoa mwanamke mwenye mtoto zaidi ya 1 kuna tatizo?

    Ukiamua kumuoa mwanamke mwenye mtoto au watoto hakikisha haya yafatayo [emoji117]Hakikisha umeudhuria mazishi ya uyo mzazi mwenzake kama ni marehemu, na uhakikishe unaaga mwili wa marehemu, pia ni Lazima uthibitishe kwa macho yako mawili kua alielala kwenye jeneza ndyo yeye uyo mzazi mwenzake...
  14. Toedsloth_

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ufanikiwe haraka mtaji ni mmoja tu- Wajinga

    Wajinga wenyewe hawajitambui [emoji16]
  15. Toedsloth_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thanks Giving Matured woman

    Humu jf kuna pisi kali kuliko hta kidimbwi [emoji28] kuna pisi niliipata humu humu duh! Pongezi kwa Max mello kwa kuanzisha hii forum [emoji1666][emoji1666]
Back
Top Bottom