Ukitaka ufanikiwe haraka mtaji ni mmoja tu- Wajinga

Ukitaka ufanikiwe haraka mtaji ni mmoja tu- Wajinga

Umesahau Kuna makanisa wajinga wanaenda hata Mchungaji akisema wasile kweli hawali na Kaa na njaa mpaka kifo Kisha wanazikwa maisha yanaendelea .Hakika wajinga ni wengi!! Huko Kenya wamefika 50 waliokufa na njaa ili waende mbinguni
ila makanisa yamepoteza ndoto za vijana wengi
mwaka 2008 wakati kakobe anawika alitembelea mkoa wetu, kuna dogo aliacha fanya mitihani kisa analinda kanisa mchungaji kaja

hadi leo dogo kama kadata haelewi kipindi
 
Ukijua viingi usijue kimoja Bado unakuwa mjinga.
Hata wewe Ni Kama sisi Mana Kuna vitu umeandika kwa kusikia na huvijui.
WEWE PIA MJINGA
 
Ila wakristo wanajifanya wanaijua dini mpaka wanakuwa mambumbu
Kibwetele aliwachoma moto
Jamaa kawaambia wafunge halafu wamekubali kawapiga moto kweli wakristo wapewe maua yao.
Mkristo hawi mjinga
 
Ukijua viingi usijue kimoja Bado unakuwa mjinga.
Hata wewe Ni Kama sisi Mana Kuna vitu umeandika kwa kusikia na huvijui.
WEWE PIA MJINGA
Bahati nzuri huwa napenda sana kuitesa akili yangu,kama kuja kitu nina ujinga nacho labda sababu sijapata information za kutosha,ila sina tabia ya kukaza fuvu, kila siku najifunza na niko tayari kupokea kitu kipya kama kina logic.
 
Wajinga wenyewe hawajitambui [emoji16]
20230322_134351.jpg
 
Biashara zote hizi ukifanya guarantee ya kutoboa ni 100%, maana resource inayohitajika ni moja tu---WAJINGA.

Kwa bahati nzuri wajinga hawaishi na kila siku wanazaliwa wengine, kitu kizuri zaidi Wajinga wanatabia ya kurithishana ujinga,na kuulinda kwa nguvu zote.

Mfano wa biashara zilizofanikiwa kwa kutumia mtaji huu ni kama.

1. Manabii wa uongo,mfano,mwamposa,gwajima,yule wa kenya McKenzie ameuwa wajinga 48.

2. Wanasiasa,mtaji wa wanasiasa ni kundi kubwa la wajinga

3. Dini,zote zinategemea wajinga kujiendesha,na kwakuwa wamejazwa imani ya kijinga, ukiwaelekeza wnakuona wewe ndio mjinga.

4. Kubeti- vijana na wazee, hapa huwaambii kitu,wajinga wengi wanategemea kutoba kwa kubeti, ndio maana kampuni za kubeti zimekuwa nyingi kama nzi

5. Michezo ya upatu,Mr kuku farm,kilimo cha vanilla,Q net,forever living, kyalinda,Dec, Jatu plc hapa hakuna haja ya maelezo mengi,wajinga kila siku wanapigwa na hawakomi


~Wajinga hawawezi kutofautisha kitu cha kweli,uongo,au uzushi,wao wanaamini kile wanachoambiwa,wanachoaminishwa, au wanachotaka kusikia tu.~
6. Uganga wa kienyeji hasa dawa za limwata, na zile za kuongeza makalio kwa wadada na nguvu za kiume kwa wanaume hapo unatoboa fasta!
 
Huko kimara kuna nabii naitwa kuhan
Mussa,kumuona tu unalipia hela [emoji1]
Nchi ina mazuzu wengi hii

Ova
Duu hii kali
Hao waumini wangechapwa viboko tu
Hivi hawakuwa na maadili udogoni au kuwa hata na Imani tofauti
 
Mwamposa moshi huko aliwakanyagisha watu mafuta mpaka
Wengine wakafa,sasa tukio hilo linatofauti gani na la kenya
Alafu leo hii hyo hyo anakaribishwa bungeni na Ana tambulika
Nahisi wakati mwingine mfumo unawarmtumia hawa pia

Ova
Hata hao waliopo bungeni ni mazuzu tu
Nchi kubwa hawajui namna ya kuiendesha, unafikiri wana akili hao?

Kutwa kwa waganga wa kienyeji na wachungaji matapeli

Kuna kitu wanapata pia na wana maslahi na hao matapeli
Ila waumini ndio wapumbavu zaidi
 
Kiukwel wajinga ukiwakamata vizur hela zao zote wanakuwa wanakuletea wewe tu

Shida yangu ni kuwa kuna muda nawaonea huruma
 
Back
Top Bottom