Dkt. Gwajima D
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 611
- 4,033
Sasa ndugu statistics jitokeze Sasa wewe uje utoe ushahidi wa haya yote Ili tuwaunganishe wote hao unaowatuhumu. Hii ndiyo iwe hatua ya kwanza kabisa, kupata ushirikiano toka kwako, maana mambo ya Jamii ni yetu wote. Mawasiliano yangu yote yako hapo au fika kituo chochote cha Polisi kaseme nimekuja na huu ushahidi. Mimi nitajulishwa sasa rasmi. Haya nasubiri. Mchana mwema na Baraka kwako.Dkt. Gwajima D , umefeli kutatua jambo dogo kama Hilo.
Maafisa uliowatuma wamechotewa mgao kwenye Mahari wewe ukaambiwa ametoroka. Hiyo RB haitadaidia, hata mtuhumiwa na mkewe wakikamatwa watoa maokoto na kuachiwa..
Next time ukipatiwa taarifa za namna hiyo tumia watu wenye weredi na sio hao maafisa maendeleo ya jamii.
Kumbuka, ulimwaguza sirro amkamate gwajiboy akakugomea na hili vijana wako wamekugomea na Kuna dalili wamepigia noti.
Naomba ujiuzulu Kwa kuwa unatoa amri zisizotekelezeka.
Mchizi amesema mtoto aolewe wazaz wakiridhia, sheria haisema waziri akiridhia.
Rekebisheni kwanza sheria mnawasumbua polisi Bure, na watawagomea kistaarabu.
Umeshindwa, jiuzulu uwaziri Dr Gwajima d